Mgagaa na Upwa
JF-Expert Member
- Sep 30, 2013
- 15,276
- 33,583
Kuna mshkaji ameniblock sababu aliniomba nimkopeshe laki 3,ile kumuambia sina hiyo pesa kaniblock whatsapp
,halafu ajabu dec last year alikata tiketi za atcl 4 go & return mwanza kula x mass,leo ananiblock kwa kutokua na laki 3 ya kumkopesha!
Sent using Jamii Forums mobile app
,halafu ajabu dec last year alikata tiketi za atcl 4 go & return mwanza kula x mass,leo ananiblock kwa kutokua na laki 3 ya kumkopesha!Sent using Jamii Forums mobile app