Hatimae kipofukaona mwezi'

Hatimae kipofukaona mwezi'

Big man

Senior Member
Joined
Sep 21, 2011
Posts
128
Reaction score
14
Hii, ni ktk buruni wale watoto wa Arsenali hatimae wamepata nafuu baada yakusumbuliwa nahomakali yakukosaushindi' nakocha wao kukosolewavikali navyombovya habari, kwingineko namashabiki wao walionja jotoyajiwe, baada kil
a wanapo kaana marafikizao, kuogopaata kuanzisha stori inayohusu soka. hatimae leowame tabasamu, hongereni saaana kwa
kuzinduka big up kwasana,karibuni muone lakwetu, man utd tupokibaruani karibuni muone,
 
andika basi vizuri ieleweke......
 
wewe ulieanzisha hii thread ndio kipofu!!! mzushi mkubwa we!!! haya ngoja tusubiri hako kagame kako na hao southampton!!!tuone utaishia wapi!!!
 
Hii, ni ktk buruni wale watoto wa Arsenali hatimae wamepata nafuu baada yakusumbuliwa nahomakali yakukosaushindi' nakocha wao kukosolewavikali navyombovya habari, kwingineko namashabiki wao walionja jotoyajiwe, baada kil
a wanapo kaana marafikizao, kuogopaata kuanzisha stori inayohusu soka. hatimae leowame tabasamu, hongereni saaana kwa
kuzinduka big up kwasana,karibuni muone lakwetu, man utd tupokibaruani karibuni muone,

unaonekana hujitambui na wala mpira huujui coz watoto wamecheza mechi tatu hawajaruhusu goli hata moja na leo wameshinda nan hapo ana upofu ukifananisha na waliofungwa .ukiona huna cha kunandika soma thread za wenzio tu.
 
Sikulaumu wewe,namlaumu huyo aliyekukurupusha usingizini.
 
Back
Top Bottom