mwandende
JF-Expert Member
- Feb 16, 2017
- 11,389
- 21,503
Hakuna jinsi mkuu,,Mkuu umenishinda tabia, na naombea waifu asifungue mlango kabisa ukome hapo nje[emoji3][emoji3][emoji3]
Ni maombi tu hiki kimbunga JOBO kipunguwe kasi hapa nyumbani.
Hakuna jinsi mkuu,,Mkuu umenishinda tabia, na naombea waifu asifungue mlango kabisa ukome hapo nje[emoji3][emoji3][emoji3]
Mwanamke ni mwanamke tu mkuu.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ni mke gani umdanganye kizembe kizembe akuelewe?