Washusha mizigo tumeingia kwenye mtihani mkubwa baada ya Kickass kuendelea kuandamwa kila kukicha kuhusu suala zima la copyright infringement! Mkombozi wetu huyu anabanwa kila kona kiasi kwamba, ule uwezekano wa kupata software mbalimbali bure not mentioning movies na TV series tuzipendazo, mambo yote hayo yapo kwenye hati hati! Katika kukwepa kwepa shutdown, jana Kickass wakahamia kwenye domain ya Isle of Man na ku-assume web address ya http://kickasstorrents.im/. Probably it's the greatest mistake KickassTorrents (KAT) had ever done before coz' jamaa (im) wanafahamika kwa policy yao ya "zero tolerance" towards copyright infringement. Bila kutarajia, Kickass site was finally shut down!
Good enough, KickassTorrents (KAT) bado wanatupenda! Jana ile ile waka-struggle na kuhamia domain ya Costa Rica na hivi sasa, the very same kickass.to kupatikana kupitia http://kat.cr/
NB: Jambo lililo wazi ni kwamba hivi sasa kickass inasakamwa ile mbaya. Hakika haijulikani kesho itakuaje manake wanaharakati wa masuala ya copy right hawatakaa chini hadi wanahakikisha kickass inakuwa shutdown. We don't about tomorrow, so kama kama kuna mzigo wako wowote ambao kila siku unasemea semea kuushusha na bado hujafanya hivyo, basi chukua hatua sasa coz' we don't know what will happen tomorrow!
BETTER TO BE SAFE THAN SORRY!​