Umeuliza swali la msingi mkuu naamini wakakapokujibu itanisaidia na mm kupata majibuNaomba Mnaojua misingi ya Ndoa hasa za Kikristo mnijibu yafuatayo,
Hivi kila Ndoa inayofungwa kanisani na kunukuu viapo Kwa kuvitamka Kwa mdomo huwa kweli zote ni halali na anakuwa kaunganisha MUNGU?
hivi mtu tapeli anaelenga maslahi Wakati maslahi si msingi wa Ndoa nae kukarili viapo na Kutamka anakuwa kaunganishwa na mwenzake Mwenye Nia ya dhati na inapaswa Aina hii tuseme kaunganisha MUNGU?
Iwapo mwanandoa mmoja hakuwa na Nia toa awali ya kuishi milele ktk Ndoa Lkn akakarili kitapeli viapo na kukubali kiuongo ili tu atimize malengo na hii tutasema kaunganisha MUNGU,
Km ni Mpaka kifo kitenganishe Kwa nini mnanukuu kifungu cha uzinzi kinachohalarisha talaka?inamaana uzinzi ndo kifo,
Inakuaje Kwa akina dada na kaka wanaofunga Ndoa Kwa kufuata Mali, na hawa wanapaswa kuhesabiwa km wanandoa ambao Mungu kaunganisha au Mali na tamaa zao zimeunganisha?
Kwa hayo maswali Yangu yanayiakisi kinachofanyika ktk ufungaji wa Ndoa je mnauhakika gani kuwa kila inayoitwa Ndoa huwa kweli imeunhanishwa na MUNGU?
Je ni sahihi Ndoa ambayo ilikuwa na utapeli wa misingi na lengo la Ndoa ikivunjika tunapaswa Kusema alichounganisha MUNGU?
Mnajuaje Sasa km ni Ndoa ipi mmoja alimtapeli mwenzake ili iwape usahihi wa kutumia fungu la alichofunga MUNGU binadamu asitenganishe maana Siri ya dhamira ya MTU kufunga Ndoa anayo muhusika?
Mnaonaje tukisema MUNGU ndo anajua uhalali wa kila Ndoa maana zipo zinazofungwa kibatili Toka mwanzo?
Na hii ya Mbasha mnauhakika gani kuwa ilikuwa si batili since day one au ilikuwa batili since day one?
Nikimdanganya MTU kuwa nipo tayari kuishi nae milele Kwa shida na raha Wakati najua Moyoni sipo tayari na sintadumu nae nimelenga kitu je Ndoa hii nayo imeunhanishwa na Mungu?
We umeshamuacha Dada wa watu kule?Aaaaah wokovu ni kazi tukio hili la Flora kuolewa mara ya pili huwa linanifanya niwaze sana msiniulize kwann ni story ndefu...
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Kumepitwa na wakati aisee,huoni Flora anavyotupa shida kujua ubin wake?umetudanganya live
sema hupendi kubadili jina
siyo kubadili jina kumepitwa na wakati.
ila kwa iman ya waislam nadhani wao si lazima kubadikisha jina[emoji23] [emoji23] [emoji23] Kumepitwa na wakati aisee,huoni Flora anavyotupa shida kujua ubin wake?
Korora/Mbasha au Kusweka?
Imagine bibie Dida angekuwa anabadilisha ubin kila akiolewa tungekuwa tumesha msahau kwani angetupotea kabisa!
Sitakaa nifanye huo upuuzi wa kubadili jina la ubin wangu! Ndoa zenyewe ni za kukaa mguu ndani mguu nje.ila kwa iman ya waislam nadhani wao si lazima kubadikisha jina
ila isikupe shida, akiachika si unajua kabsa si jina lake, endelea kutumia jina lingne, na ujue vile utaolewa unamwambia mumeo eti sibadili kwa kuwa twaeza peanwa talaka[emoji23] [emoji23] , lazima akushangae asee, utamwakeza vzuri
Ndoa ya kikristo inavunjika kwa sababu mbiliWewe acha kumdanganya na kuudanganya umma. Hiki ni kituko. Ni kinyume na dini yake. Kitendo hiki kipashwa kukemewa kwa ukali sana. Kwa ufupi FLORA kwa sasa ana wanaume wawili na hii inaitwa UKAHABA.
aaaah! huwa hawabadili vyeti bhana [emoji23] [emoji23]Sitakaa nifanye huo upuuzi wa kubadili jina la ubin wangu! Ndoa zenyewe ni za kukaa mguu ndani mguu nje.
Mbali na hapo nchi yenyewe haieleweki unaweza shangaa unatumbuliwa bure eti watumia cheti feki.
Kusekwa ameswekwa Lupango.Hivi katikati ya mapaja kuna maajabu gani jamani..maana naona huyo dogo kusekwa amekamatika kabisa..daaah!!
Make up iyo mkuu hata ivo flora ni mtu mzima umri umesogea
lakini ni option ya kifo tuuu, ndio huruhusu ndoa ya pili.Ndoa ya kikristo inavunjika kwa sababu mbili
Uasherati
Kifo
Sasa kama mbasha alibaka, unataka nini tena!
Wapo wanaobadili hadi vyeti,mfn Mch.Getruda Lwakatare.aaaah! huwa hawabadili vyeti bhana [emoji23] [emoji23]
unabadili katika ile social status stuu, mi mwenyewe nikioa mke wangu hawezi badili jina la kwenye vyeti vyake au kazini ( though mke wangu atakuwa ana cheti cha la saba tu, akizid saana cha form four, so haito leta shda) but kwenye ishu za kijamii tu ndio unabadili ni heshima kwa mumeo na kwa jamii pia, ndio hata unakna kina michelle ni michelle Obama,
sema pia unachonga sana kwakuwa hujui mumeo atakuwa nan, mwenzio hillary alikuwa na kiburi hivo hivo, mumewe alipo ukwaa Urais akabadili fasta[emoji23], na wewe unaeza sema ooh sibadili, ukaolewa na successful person of coz u will like to associate you name with his big nem
hahahahWapo wanaobadili hadi vyeti,mfn Mch.Getruda Lwakatare.
Kwa issue ya u first lady nitabadili hadi vyeti [emoji12] [emoji12] [emoji12]
Mbona hayumo humu.Au unampa hongera flora gani?Halafu mbona umekuja kama umemezeshwa ujumbe.Kila LA kheri Flora. Maisha ni yako ma maisha ni wewe. Huwezi kuishi maisha ya wengine maana utakuwa mtumwa wa wengine hadi kufa. Umefanya uamuzi sahihi, songa mbele na endelea kumtukuza Mungu maana kila jambo lina maana yake. Mipango ya Mungu sio ya mwanadamu.
Usiruhusu mtu yeyote awaye kuhoji juu ya maisha yako. It's you and only you.
Funguka mkuuAaaaah wokovu ni kazi tukio hili la Flora kuolewa mara ya pili huwa linanifanya niwaze sana msiniulize kwann ni story ndefu...
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Kitakachobadilisha ubin wangu ni u first lady tu basi....huo uheshimiwa wa ubunge na blah blah zingine,never!hahahah
usibadili vyeti kwa kuwa haukufaulu na mimi, thats your achievement. hilo halitakiwi au ile kuanza kuwasumbua watu kazini ooh sasa mniiite Thad Iceman, kuwa kuwa nshaolewa, hiyo haijakaa poa unless wao wametaka wakuite hivo.
hahahaha, ndio wanawake wengi husema hawatabidili kwakuwa tu siye wanaume hatuja achieve viti impressive, ila watu kuwa mama Diwani tu wana tupa shida [emoji23], sembuse akiwa Rais hapo najua utabadili fasta tu
Ndio maana huyu naye kaamua kubaka kijana.Ndoa ya kikristo inavunjika kwa sababu mbili
Uasherati
Kifo
Sasa kama mbasha alibaka, unataka nini tena!