Hatimae Chama na Fabrice Ngoma wajiunga na wenzao Uturuki

Kwa Sasa Hbr za Sajili,sijui Chama,sijui Skudu,sijui Kibabage Weka Pembeni.....

Macho na Masikio ya Jamii ya Soka Tz Yapo Mlima Kilimanjaro , juu ya KIBEGI..

KIBEGI Kimefika.? Kina nini KIBEGI.?

Jambo Hili Likiisha tu... tutageukia tena Usajili wa Kibabage ...!
Usikonde.!
 
Kwa Sasa Hbr za Sajili,sijui Chama,sijui Skudu,sijui Kibabage Weka Pembeni.....

Macho na Masikio Wa Jamii ya Soka Tz Yapo Mlima Kilimanjaro , juu ya KIBEGI..

Wau wamebeba zao taulo mnataka tugeuzie macho huko?
 
Kwa Sasa Hbr za Sajili,sijui Chama,sijui Skudu,sijui Kibabage Weka Pembeni.....

Macho na Masikio Wa Jamii ya Soka Tz Yapo Mlima Kilimanjaro , juu ya KIBEGI..

KIBEGI Kimefika.? Kina nini KIBEGI.?

Jambo Hili Likiisha tu... tutageukia tena Usajili wa Kibabage ...!
Usikonde.!
Vuvuzela lenu Ahmed Ally ameshindwa kupanda mlima hata Horombo hajafika.

Wezi wa simu ndio wanaotembea na vibegi ndio ninavyojuwa Mimi, watu wa kukwapuwa kwapuwa kuficha kwenye hivyo vibegi.
 
Back
Top Bottom