Hatima ya Watoto 1300 waliopotea Imefikia Wapi?

lembu

JF-Expert Member
Joined
Dec 31, 2009
Posts
19,715
Reaction score
25,956
Mwanzoni mwa mwezi huu niliweka uzi wa kutaka kujua watoto waliopotea kibiti na hawajulikani waliko lakini aidha uzi haukuload sawasawa au uliondolewa.

Kwa walio karibu na Siro au Kibiti kulikoni, tupeniu habari.

Nashangaa ilitangazwa mara moja tu halafu ikazikwa hata media haifuatilii tena issue kubwa kama hii
 
watoto wote hao kupotea!?... wazazi wao wanaweza kujua wako wapi..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…