Bodi kumeoza na kuna nuka sio utendaji wa kazi tu ata rushwa imetawala,Matatizo utamweleza nani tanzania kama demu wa mtungo,hawa jamaa wanajiona mungu watu hawaogopi mtu wapo kama hawatakuja kuzaa au hawana watoto,wanajibu vibaya sana si wanaume wala wanawake tabia zao moja,hawana utu kabsa tumetembea wiki nne barabarani mpaka tukakutana na kamati ya maendeleo ya jamii chini ya mwenyekiti Mh.Magreti Sitta kuomba msahada,pesa imetolewa lakini hzo pesa wanakula wao na familia na mademu zao.wakti mimi masikini ninashnda njaa,wao wanakula,wakati nina hangaika juani wao wapo wanakula kiyoyozi,usiku nawaza nitapitia wapi kesho yake kutafuta msaada wao wamelala na waume zao/wake zao.pesa imetolewa kwa juhudi zetu wao wanachukua na kujaza matumbo yao MAFISADI WAKUBWA.Nchi hii mafisadi ni wengi HAKUNA HAKI HATUWEZI PATA MAENDELEO kwa kukumbatia mafisadi.njia yoyote itaftwe kushughulikia MAFSADI HAWA..