Mmh!
Kwa sasa hiyo kitu kuweza kuajiriwa ni Bahati nasibu kweli kweli na kuweza kujiajiri ni ndoto.
Ushauri wangu, achana nayo, tafuta kozi za Elimu na Afya.
Kuisaidia jamii kuweza kutambua fursa na vikwazo vya maendeleo na kuweza kutumia fursa hizo ili kuweza kutatua matatizo yao na kujiletea maendeleo endelevu.
Ajira zipo sema zina ushindani kwahiyo ni juu yako kujitambua