Naomba kuuliza tena kama mzazi wako kaoa nyumba ndogo halafu mke mkubwa haishiii naeeee ..........mzazi ambaye ni baba katika hati ya nyumba akaandika jina la mke ndogo lkn watoto wa mke Mkubwa na ndogo wanaish pamoja ikatokea mzazi mmoja kafariki labda father hapi inakuaje
Unawaachia urithi (mjifunze kuandika wosia) ila mahakama huwapa watoto.
Nje ya mada..... mwandiko wako umenikwaza....kama maliiii na nduguuuu ndio kitu gani???
Maliii = mali
Nduguu = ndugu
Inakuwajeeee= inakuwaje
Hapooo = hapo
Kuwa serious unapo hitaji msaada ndani ya jukwaa hili, acha mambo ya kish****oga, unapewa muongozo lakini unakomaa tu na maandishi yako ya kingese pyuuu.