Hati kwa mkopo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hati kwa mkopo

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by HALAL, Aug 8, 2011.

 1. H

  HALAL New Member

  #1
  Aug 8, 2011
  Joined: Aug 8, 2011
  Messages: 1
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ndugu wana jamii,ni wapi naweza kupata mkopo kwa kuweka hati ya kiwanja changu kama security?
  Sina biashara yeyote na sija ajiriwa sehemu yeyote.Ila nina business idea ambayo nataka kuifanyia kazi
  kama nikifanikiwa kupata pesa.
  Natanguliza shukrani.
  Mwn jamii.
   
 2. Mshume Kiyate

  Mshume Kiyate JF-Expert Member

  #2
  Aug 8, 2011
  Joined: Feb 27, 2011
  Messages: 6,774
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Mkuu, kiwanja chako kipo sehemu gani? Halafu kina hati hicho kiwanja chako.
  Ni Sq mita ngapi, na unaitaji mkopo wa kiasi gani?
   
 3. k

  kakolo Senior Member

  #3
  Aug 9, 2011
  Joined: Jul 7, 2011
  Messages: 176
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 45
  Aisee hapo ngumu sana maana bank wao huwa hawana biashara ya kuuza viwanja. Nini wanataka ni kipato chako ambacho kitalipia mkopo sasa kama huna income kwa jinsi ninavyozijua financial institution zetu TAFUTA UFUMBUZI MWINGINE KAMA KUKOPA KWA JAMAA AU NDUGU.
  Mawazo yangu.
   
Loading...