Hatari

symwo

Senior Member
Joined
Jan 15, 2014
Posts
152
Reaction score
49
Yaliyoandikwa humo ni kweli tupo...tusilazimishe jamani

 

Attachments

  • 1399646459523.jpg
    176.2 KB · Views: 863


Baadhi ni kweli na baadhi ni uongo!!
 
Kweli ni hatari, nimeshindwa kusoma.
 
Mwanmke ajitume katika mahusiano katika nafasi yake asibweteke, lakin kuwe na kiasi na mipaka!
 
Nakubaliana kwa asilimia mia. Wanawake tupunguze kujirahisi jamani! Enzi zetu unatongozwa miaka miwili hata kiss hakuna. Siku hizi ukitongoza 2 hrs unapata a smooch, in 6 hrs pichu kuleee! Mweeh!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…