SONGOKA
JF-Expert Member
- Mar 8, 2012
- 1,836
- 1,845
Unafiki ni kitu kibaya sana, tena unaua, na tena unasambaratisha kabisa, na siku zote unafiki ni chanzo cha ugomvi.
Wiki mbili tu kabla Dr. Mgimwa hajafa, Nape alimtaja kama mmoja wapo wa mawaziri mizigo anayepaswa kushughulikiwa. Lahaula Dr. Kafariki, Khe kila kukicha anasifiwa, anamwagiwa sifa za utendaji mzuri na wa kupigia mfano.
Je kama watanzania walijua sifa na utendaji wa Dr Mgimwa (marehemu) kiasi hicho walikua wapi kumpinga nape wakati alipomuunganisha katika mawaziri MIZIGO. Mwanachi lilikua mojawapo ya magazeti yaliyoshabikia sana hoja ya nape ya mawaziri mizigo, akiwemo Mgimwa, what is hapening now??
HATARI:
Tundu lisu aliposema ZITTO kaohongwa MAGARI na MKONO, hakujua kuwa zitto nae anayajua ya MBOE. Haya zitto kamwaga ugali, Yuko wapi mbowe au john mnyika kukanusha au kukubali hoja hizo??Acheni unafiki wa kujidai wanamageuzi huku mnakutana mlango wa nyuma na kupeana milioni MIA MIA. Nalifahamu vizuri sakata la mbowe na NSSF lakini sikujua limeishaje..khe Kumbe mbowe kakutana na KINANA..yuleyule wa makontena ya ndovu..wakayamaliza. Alafu leo anatupigia hadithi za MACCM hawafai.Rudisha pesa zao zote then wakupe receipt uje ujidhihirishe mbele ya wanachama. Mnafiki mkubwa
Nilimchukia zitto sana kwa usaliti lakini sasa sitaki kusikia kuhusu MBOWE
HATARI:
Hivi kama zitto aliyekulia ndani ya CHADEMA kaamua kukisaliti chama, Tunamwamini vipi DR. SLAA aliyekuwa kiongozi wa MACCM na akajiunga uzeeni tena kwa sababu tu ya uchu wa madaraka baada ya jina lake kukatwa kwenye ubunge??? acheni unafiki wanachama wenzangu?? hivi ni kweli tumeweka imani zetu kwa PRO CCM?? DR ni bingwa wa kuacha na kuchukua..Kama aliwahi kumuacha mke wake na kunyang'anya mke wa mtu atashindwa vipi kutuacha chadema akipewa offer nzuri CCM?? Mke na chama nini KITAMU?? NAWAAPIA yale maneno ya WASIRA a.k.a mwafrika halisi kuwa HATUTAFIKA 2015 hayakumaanisha zitto tu. WALIJUA zitto ndo mbishi wakianza nae wote waliobaki ni dhaifu so watawamudu kilahisi sana. Mfano.....unadhani mboe atakubali kufukuzwa nyumba ya NHC (BILLICANAS) pia deni lake la NSSF lirudishwe, Pia wambane kodi, eti kisa chadema ha ha ha HAWEZI, atawaachia chama akimbie kujiunga AIRTEL.
Tuache unafiki Please