Hatari za kuchelewa kuoa

Waheshimiwa msioe kwa mapenzi bali oeni kimkakati kama wanawake wanavyoolewa kimkakati. Most of the times wanawake wanaolewa sio kwa sababu ya mapenzi ila kile ambacho mwamba unaweza provide for her and future kids.

Hapo zamani mwanaume aliyekua anaweza kuoa ilikua lazima awe mwindaji kwa Jamii za wafugaji au mkulima mahiri kwa Jamii za wakulima. Uwindaji na ukulima wa sasa ni hela,the one with the most money gets the bride.

Sasa kwanini were mwanaume mahiri uoe tako ,sura au rangi tu. Pia kama wao wanaolewa kwa sababu ya future provision basis hata sisi tufanye hivyo. Mkeo mtarajiwa awe na zaidi ya muonekano,sio pesa au ajira.

Ukioa kwa mapenzi utateseka sana (from personal experience). Mwanamke akipata anachokitaka kisha akaamua kukukatilia mbali wala hatasumbuka kwa sababu haupo moyoni mwake.

Be warned ndugu zangu.
 
😆😆😆Tatizo wabongo wanakimbilia kuzaa ili watoto waje wawatunze 🤣

Yaani mtoto anapewa mzigo wa kuja kulea mzazi ambae hakujipanga,hakua na plan.
Ndio maana Afrika umasikini hautaisha

Watu weupe huu ujinga hawana
 
Sio issue kwanza siku izi wenye ndoa wengi wanapagawa na maisha ya ma single man...yaan wake za watu wana tembea nje ya ndoa kama njuguuu sasa kwann na mie niwahk ..yaan hapo ni sawa unaniamnia na mm niwahi kuoa alafu mke agongwe na wengi e ...ebooo kheri ni chelewe chelewe
 
Mwanamke akizingua fukuza,oa mwingine..wapo wengi Sana barabarani wanaota kuwa wake
 
Theory tu.....na kukariri kwng....Acha visingizio ndugu.
 
Ficha mbali huu upumbavu wako, huenda utakunufaisha baadae…. hata biashara sio ya serikali na haikulazimishi kuanzisha ila ukianza tu serikali hii hapa ulipe kodi.

Unasema huwezi kuishi kwa kufuata social norms wakati huo unakula kwa mpangilio wa jamii yako, asubuhi mchana na usiku.
 

Unabishana na kichaa.

Sasa Kama hawezi kuishi Kwa kufuata norms atuambie ni Jambo gani linamzuia yeye kulala na Mama yake mzazi au Dada yake wa kuzaliwa,
Au ni Jambo gani linamzuia yeye Kama Mwanaume kulala na Mwanaume mwenzake,

Ogopa kitu inaitwa upumbavu, yaani anashindwa hata na mnyama kufikiri
 
Mtoa post kazngua sana asee
 
No strings attached, living together apart, unconditional relationship ndio best ndoa, nyengine first class ticket to miserable life.
He who desires a lifetime of happiness with a beautiful woman desires to enjoy the taste of wine by keeping his mouth always full of it. George Bernard Shaw
 
.yaan hapo ni sawa unaniamnia na mm niwahi kuoa alafu mke agongwe na wengi e ...ebooo kheri ni chelewe chelewe
Halafu ke akigongwa huko nje anakuja zalia kwako idadi ya kutosha tu!unajichekesha km zuzu! matunzo yote ya ulezi unatoa wewe!! hayo hayo!! Matoto kumbuka si yako, pale yakikua sasa ...

ikitokea siku unamkoromea Mama yao ki vyoyvyote vile hakuna rangi utaacha kuiona yatakutia vitasa barabara si vya Dunia hii!! na laana hawapati!!...hapo sasa

.utageuka kuwa mwalimu mzuri wa somo la kuto oa mapema!! ...ajili ya kupigiwa Nyapu hadharani!....na ukizidisha gubu la kumsema sana siku ukilewa ana kuua faster!...tena kwa sumu ya panya tu si anakupikia yeye???

Km mtoto si damu yako anakupiga tu bila mshtuko! kwa sababu ulishindwa kuishi na Mama yake kwa akili!! wkt mlishaambiwa mapema mfanye ivo!

Labda mleta mada angesema hivi Omba Mungu akupe mke mwema!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…