kirengased
JF-Expert Member
- Jan 10, 2016
- 6,325
- 7,034
Jambo Tanzania,
Nimekuwa nikipenda kufuatilia hotuba za viongozi wakubwa na watu maarufu ndani na nje ya nchi yetu. Amahakika kutoa hotuba bila kusoma yahitaji werevu mkubwa na uwezo wa kupambanua mambo kwa haraka.
Mh. Rais amekuwa akitoa hotuba bila kusoma,ninadhani kwa kiwango/ofisi aliyofikia haifai kujifunza kutoa hotuba. Neno la Rais huitwa sheria na hugusa wengi. Kauli zake zinapovunja katiba/sheria/desturi za kitanzania huleta sintofahamu kubwa.
Pamoja na kauli nyiiingi hii ya kusema yeye ndiyo hupanga mani akae wapi kwenye uongozi inaleta ukakasi tena.
Ninavyojua anapaswa kushauriana na makamu wake nahata waziri mkuu. Je, mkuu haoni kwakufanya/kusema anafanyaga mwenyewe anatuonesha jinsi anavyovunja taratibu na kushinda kujenga "esprit de corp" kwenye serikali na nchi kiujumla?
Tuijenge nchi pamoja...