M. Mwakalonge
Member
- Dec 2, 2012
- 49
- 4
Naona unaandika na kujicomentia mwenyewe! Tatizo lenu ni moja tu, pricing imewashinda mna tamaa sana ya pesa.
Bei zenu zipo juu mno na kibaya hamsikilizagi wateja mkishataja mmeta. Mnadhani mnaofanya consultation ni nyinyi wenyewe! Hahaha mtajicommentia sana, wapo watu wanafanya bei nzuri reasonable hapa Dar ndo tunaenda huko siku hizi. shauri yenu Yeboo nkosi
Afadhali umewapa za usoni wana tamaa sana hawa jamaa
em tumsubiri mhucka wa anjoa arud kwa utetezi juu ya hiz tuhuma
Na hili ni tatizo kwa watoa huduma wa TZ wanataka watajirikie kwa mteja mmoja, matokeo yake wanapoteza wateja wengi .
Naona unaandika na kujicomentia mwenyewe! Tatizo lenu ni moja tu, pricing imewashinda mna tamaa sana ya pesa.
Bei zenu zipo juu mno na kibaya hamsikilizagi wateja mkishataja mmeta. Mnadhani mnaofanya consultation ni nyinyi wenyewe! Hahaha mtajicommentia sana, wapo watu wanafanya bei nzuri reasonable hapa Dar ndo tunaenda huko siku hizi. shauri yenu Yeboo nkosi
Ndugu wana JF, ni bora zaidi kusema kitu ulichokifanyia utafiti kuliko kusema jambo ambalo hulijui kabisa. Gharama zetu ni nafuu sana ukifananisha na consultants wengine. Hatujawahi hata sikumoja kutoza mteja bei ambazo zinatajwa na huyu bwana anayejiita "Majaribu 2013" na kwa kazi anayoitaja. Pia hatujawahi kupata malalamiko kwa wateja wetu kuhusu huduma zetu, badala yake tumepokea watu wengi sana ambao warijaribu kufanyiwa kazi na vishoka na mwishowe kutapeliwa. Tuna list ya watu waliojaribu kutafuta urahisi zaidi ya huu tunaowapatia wakaishia kupoteza pesa zao bila mafanikio, Anjoa Co. Ltd ikawa ( imekuwa na itakuwa) suruhisho la matatizo yao. Tunapenda mwenye hayo mararamiko atue ushahidi, tena ni vizuru yakawekwa wazi hapa ili kila mwana JF aone. Mwisho tungependa kuwashukuru wan JF wote.