Hatari sana sehemu kama hii

Ingekuwa mimi ningepatwa na kizunguzungu badala ya kunipiga picha wangeita ambulance...lol!
 
Du sio mchezo
wengine ndio tuna ile Phobia ya kuogopa Vilele, hapo hata kwa Bakora siwezi fika, maana ile kutembea tu ili nifike hapo nadhani tayari ntakuwa nshadondoka kwa kizunguzungu
 
Atakuwa ameshapima anaijua status ya damu kubwa huyo.
 
Hapo keshavaa parachute kabisa huyo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…