Hatari sana: Don't Sit On Your Wallet

eeeeh kumbe.............ntamwambia asiweke tena nisije poteza nguvu kazi ya......
 
Asante sana kwa elimu mkuu. maana wallet zetu huwa tunajaza business cards etc.. ukiachilia mbali fedha.
 
Mi nimemaliza kusoma hii post nimetoa harakaharaka nisiendelee kukalia wallet japo nimekalia wallet si chini ya miaka kumi na nane hivi kama sio ishirini kabisa kwa hiyo itabidi nikapime labda tayari nimepinda! Thanks doctor!
 
Kama vile niliota miaka hiyo toka nianze kuwa na wallet! Me kitu kinakaa mfuko wa mbele kulia (kuhofia kuibiwa) then mfuko wa mbele kushoto kinakaa kilongalonga).
Asante kwa elimu nzuri mkuu.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…