Utafiti uliofanywa na watafiti wa hapa nchini wakishirikiana na wale wa India wamegundua kuwa rangi zinazopakwa kwenye kuta za nyumba zina kiwango kikubwa cha madini ya risasi (Lead)
madhara yake ni;
-Kuvuruga mfumo wa uzazi,
-usikivu kuwa mdogo kwa watoto,
-Upungufu wa akili
-Kuongeza uchizi na hasira za mala kwa mala,
Kazi kwetu watumiaji.
Please justify your stement by giving us sources of your research
Taharifa ya habari saa 7 mchana huu TBC taifaUtafiti huo umefanywa lini na kina nani e.g dr/prof/research associate....? rangi za maji au za mafuta? hizo rangi ni mported au local made? walitoa solution gani?
utafiti huo ni kwa mujibu wa muunganiko wa waganga na wachawi maarufu hapa jiji wasiotaka nyumba zipigwe rangi ila tuendelee kukandika kuta kwa nnya ya ng'ombe
Soma vizuri mkuu, utafiti umefanywa na Tanzania na India.
mara kwa maraUtafiti uliofanywa na watafiti wa hapa nchini wakishirikiana na wale wa India wamegundua kuwa rangi zinazopakwa kwenye kuta za nyumba zina kiwango kikubwa cha madini ya risasi (Lead)
madhara yake ni;
-Kuvuruga mfumo wa uzazi,
-usikivu kuwa mdogo kwa watoto,
-Upungufu wa akili
-Kuongeza uchizi na hasira za mala kwa mala,
Kazi kwetu watumiaji.
...wa wapi wewe?? cheki red hiyo!!Utafiti uliofanywa na watafiti wa hapa nchini wakishirikiana na wale wa India wamegundua kuwa rangi zinazopakwa kwenye kuta za nyumba zina kiwango kikubwa cha madini ya risasi (Lead)
madhara yake ni;
-Kuvuruga mfumo wa uzazi,
-usikivu kuwa mdogo kwa watoto,
-Upungufu wa akili
-Kuongeza uchizi na hasira za mala kwa mala,
Kazi kwetu watumiaji.