Hatari: Nimeacha kutumia Nyama

Mi enyew natikiria niache maana hat kuku hawajiamni Tena wakiniona na panga nkienda shughuli wanahis wait ndo wanateketea
 
Mungu angetaka binadamu asile nyama angemuumba na tumbo kama la wanyama walao majani tu ila binadamu ni simple stomach na ata mfumo wake wa meno unaonyesha hivyo.Mambo yakutokula aina flani ya chakula ni chaguo la mtu ndo maana wako wanaokula matunda tu(fruitarians).Zote hizo ni mbwembwe tu ila vitu vyote vinafaa kula kasoro SUMU.na muda wako wakufa ukifika utakufa tu.
 
Mtoa mada, wewe ni Msabato? Uliacha kutumia nyama tangy mwaka 1993? Nahisi niliwhi kukutana na wewe mwezi septemba mwas huu. Ulinihubiria this same story. Niludhani you are out of your mind, kumbe uko serious na sasa umekuja nayo hadi humu Jf. Anyway, hebu ss weka evidence ya utafiti wako including lethodolo
 
Hayo ni mawazo yako sio uhalisia hasa unaposema eti homa ya ini inasababishwa na kula nyama, unaijua homa ya ini?
 
Nimeupenda huu uzi. Ila naomba majibu ya maswali haya
1. Je sources ya protein mwilini (Nazungumzia protein tunazozipata kwanjia ya vyakula) ni nyama pekee?

2. Na kama kuna sources nyingi za protein kupitia vyakula, kwanini usiweke bayana tuache kula hivyo vitu vinavyoongeza protein? Nikusaidie mfano e.g Mayai

3. Ni kweli umeacha kula nyama, je umeacha pia kula vitu vyote viongezavyo protein mwilini?

4. Ni kweli unamiaka 19 haujaumwa, na nidhahiri kuwa kinga zako zipo strong, je wajua kinga mwili zako (immunoglobulin) zimetengenezwa na nini?

NB
Too much is harmful:
 
Dagaa ziko kundi gani? Samaki je? Kuku ni ndege au mnyama? Mayai je? Maziwa fresh yako kundi gani?

Uko sawa, matunda maji na mboga mboga hata manyama uzembe yanakimbia yenyewe....

Siku zote vitu vitamu vina madhara.
Na kula nyapu??
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] jinga thana wewe!
Kwenye nyama hapana kwa kweli, maisha yenyewe yako wapi? Unaacha kula nyama, unakuja kufa kwa kupaliwa kabichi[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
mbona wamasai wadzabe wamang'ati wanaokula nyama sana hayoo magonjwa hawayapati?
 
Kwa upande wa kiroho nakubaliana na Wewe kiasi. Ni hatari sana kula nyama ya mnyama mwenye miguu minne.Nyama nzuri kiroho ni nyama itokanayo na mnyama mwenye miguu miwili
Mfano mkuu wa myama mwenye miguu miwili.
 
Vyuma vimekaza watu wanatafuta sababu ukimuona na mafurushi ya mchicha kila siku aseme nyama ni sumu. Magu safi sana wanyonge sasa michicha yetu sasa ina wateja.
Mkuu maisha ya kuwa Vegan ni very expensive, inahitajika hekima kuacha nyama. Usiache kijinga, acha ukijua vyakula mbadala utavipata wapi. Ukiacha kijinga utakuwa na afya dhaifu. Unapoacha nyama basi hakikisha unakula aina tofauti ya matunda ya kutosha kila siku, vyakula jamii ya kunde kunde kama njegere, choroko, beans, soya, dengu, kunde , uyoga and so far ili ku compassate nyama.
 
Aha ha ! Aendelee kula majani pori kama mfalme nebukadreza
 
mmh mimi naamini Mungu alimuumba mwanadamu kwa ustadi mkubwa sana tena alimuumba kwa mfano wake. kwa hiyo pia naamini mwili wa mwanadamu hauwezi kuwa dhaifu kiasi hicho kwamba tu uwe tayari tayari na magonjwa na maradhi tena ya kutisha kama hayo hapo juu maana ingekuwa hivyo tungepata tabu sana cause kila kitu kinasemekana kina madhara. sipingi kwamba magonjwa yapo na vyakula tunavyokula vingi vinasababisha. lakini naamini Katika kinga madhubuti zilizowekwa mwilini mwangu hasa na aliyeifanya kazi hiyo ni Mungu ambaye ni zaidi ya kila kitu. kwa hiyo nyama nitaendelea kula kama kawaida na hakuna kitakachonipata, kama ni kufa nitakufa wakati wangu ukifika ambao Mungu amepanga. huu ni mtazamo wangu lakini
 
Bila shaka wewe ni mjita, nlikuwa na rafiki yangu huniambia maneno kama hayo kila nilipomhusia aache nyama
Hakuna mtu anayekula majani huku akiikataa nyama. Nyama italiwa saana tu. Ajiulize, je atachoma majani mshikaki?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…