M MGOME Member Joined Dec 4, 2011 Posts 33 Reaction score 5 May 1, 2012 #21 Kingmairo said: Yaah! Hapo umeongea. Nimeona mhandisi aliyejenga barabara ya tabora- shinyanga-mwanza kaweka vya zege na vimedumu hadi leo. So nadhani itasaidia sana Click to expand... Hata vya zege mbona vinaibiwa! Nenda barabara ya Igunga-Nzega utashangaa mwenyewe! Wanaiba halafu wanabomoa zege kuchukua nondo zilizojengewa ndani ya zege kwa matumizi Yao! Chezea wabongo wewe?
Kingmairo said: Yaah! Hapo umeongea. Nimeona mhandisi aliyejenga barabara ya tabora- shinyanga-mwanza kaweka vya zege na vimedumu hadi leo. So nadhani itasaidia sana Click to expand... Hata vya zege mbona vinaibiwa! Nenda barabara ya Igunga-Nzega utashangaa mwenyewe! Wanaiba halafu wanabomoa zege kuchukua nondo zilizojengewa ndani ya zege kwa matumizi Yao! Chezea wabongo wewe?