ningejua ni typing error au swali limetoka nje ya syllabus.Ungejb hvo mkuu?
Mbaya zaidi unakuta swali la 7 ulijaza jibu ni 542 alafu manguli wa hesabu wanabishana jibu ni negative 2 au postive 2!!! hapo lzm ujijue wewe ni ki....za 🙁🙁🙁
kwan na VX ina paaaa hd ikutane na ndege?Nakumbuka mtihani wa la saba unaanzaga km masikhara hivi!
19+87=
219-45=
12x34=
59÷7=
....
Afu huko mbele sasa kuanzia swali la sita saba hivi, utajutaa:
Ndege inatoka Dar saa tatu kwenda Chato. VX linatoka Chato saa nne kwenda Dar.
Ikiwa spidi ya ndege ni 350km/saa na ya VX ni km220/Saa, na umbali wa Chato-Dar ni KM 900, zitakutana sangapi?
Sa mi ntajuaje!
Na hizi tochi zote?!?
mbona simple, una assume VX imepata panchaNakumbuka mtihani wa la saba unaanzaga km masikhara hivi!