Binafsi nimeshituka kusikia waziri anasema kati ya cheti feki kiasi cha alfu kumi na tano hivi 4000 wamerudishwa. Kiasi hiki ni kikubwa sana. Hii inatia shaka kama zoezi la kuwatambua lilifanyika vizuri. Vinginevyo tuamini cheti feki wanatumia ujanja na rushwa kurudishwa kazini. La msingi kutambua cheti feki ni fisadi wenye hila kubwa na ni hatari sana kwa mstakabali wa weledi nchini. Ni watu waovu kupindukia. Wapo wasomi na wataalam wahitimu wa kweli wengi wamedhulumiwa na hawa vibaka ambao wameweza kuwadhibiti wasomi wakweli sehemu zao za kazi hivyo kudhuru ufanisi wa kazi sehemu nyingi. Yafaa umma kufuatilia na kupewa taarifa kuona kama kweli vyeti feki wanaorudi wanavyo vyeti halali.
riski=rizikiUmaskini huu. Mbona wapo wengi tu wameshasahau hata kama waliachishwa kazi na wengine weshafungua hadi biashara na wameajiri wenye hizo degree? We endelea kudhani kuna Mtu amekalia riski ya mwingine wenzio wanatafuta maisha.
Asante kwa kunirekebisha.riski=riziki
Binafsi nimeshituka kusikia waziri anasema kati ya cheti feki kiasi cha alfu kumi na tano hivi 4000 wamerudishwa. Kiasi hiki ni kikubwa sana. Hii inatia shaka kama zoezi la kuwatambua lilifanyika vizuri. Vinginevyo tuamini cheti feki wanatumia ujanja na rushwa kurudishwa kazini. La msingi kutambua cheti feki ni fisadi wenye hila kubwa na ni hatari sana kwa mstakabali wa weledi nchini. Ni watu waovu kupindukia. Wapo wasomi na wataalam wahitimu wa kweli wengi wamedhulumiwa na hawa vibaka ambao wameweza kuwadhibiti wasomi wakweli sehemu zao za kazi hivyo kudhuru ufanisi wa kazi sehemu nyingi. Yafaa umma kufuatilia na kupewa taarifa kuona kama kweli vyeti feki wanaorudi wanavyo vyeti halali.
Umaskini huu. Mbona wapo wengi tu wameshasahau hata kama waliachishwa kazi na wengine weshafungua hadi biashara na wameajiri wenye hizo degree? We endelea kudhani kuna Mtu amekalia riziki ya mwingine wenzio wanatafuta maisha.
Ndiyo maana nimesema hili ni jambo la kijinga lililofanyika kijinga.Si kweli hata kama wametumia vyeti si vyao Lkn wamekaa darasani Na Huwezi ufeki utaalamu.Huwezi ufeki ualimu,udaktari,uinjinia,udereva nk cheti ni makaratasi.Nchi zilizoendelea huwa awahangaiki Na vyeti Bali output ya MTU.
Ndiyo maana nimesema hili ni jambo la kijinga lililofanyika kijinga.
Yaani Juma Kampa Cheti cha kidato cha nne daraja la tatu Moses, Moses Kaenda kidato cha tano, juma kaamua kuwa mfanyabiashara. Moses Kafaulu mtihani wa Kidato cha sita na kujiunga na Chuo Kikuu cha tiba Muhimbili.
Moses Kasoma na kumaliza masomo na baadhi ya wenzake waliokuwa na vyeti vyao halisi walifeli yeye akafaulu. Kwa miaka zaidi ya saba ni Moses aliyekuwa anasoma na si Juma aliyeamua kuwa Mfanyabiashara.
Sasa Elimu ya Udaktari anayo Moses ama Juma? Na amegushi udaktari ama nini? Maana na yeye alisoma hadi kidato cha nne ila hakufaulu mtihani.
Halafu mfumo wetu wa kusahihisha mitihani ya sekondari una tija na usawa kwa kiasi gani? Jee karatasi ya Kwanza kusahihishwa kwake na mtu mmoja inafanana na karatasi ya 200 inaposahihishwa na mtu huyo huyo?
Binafsi nimeshituka kusikia waziri anasema kati ya cheti feki kiasi cha alfu kumi na tano hivi 4000 wamerudishwa. Kiasi hiki ni kikubwa sana. Hii inatia shaka kama zoezi la kuwatambua lilifanyika vizuri. Vinginevyo tuamini cheti feki wanatumia ujanja na rushwa kurudishwa kazini. La msingi kutambua cheti feki ni fisadi wenye hila kubwa na ni hatari sana kwa mstakabali wa weledi nchini. Ni watu waovu kupindukia. Wapo wasomi na wataalam wahitimu wa kweli wengi wamedhulumiwa na hawa vibaka ambao wameweza kuwadhibiti wasomi wakweli sehemu zao za kazi hivyo kudhuru ufanisi wa kazi sehemu nyingi. Yafaa umma kufuatilia na kupewa taarifa kuona kama kweli vyeti feki wanaorudi wanavyo vyeti halali.
Mwaka jana tarehe 3/9/2018 mzee wa kanisa fulani alipoteza (fiwa) mtoto kwa sababu ya nesi asiye na uzoefu aliyemhudumia kwenye hospitali moja ya wilaya.Si kweli hata kama wametumia vyeti si vyao Lkn wamekaa darasani Na Huwezi ufeki utaalamu.Huwezi ufeki ualimu,udaktari,uinjinia,udereva nk cheti ni makaratasi.Nchi zilizoendelea huwa awahangaiki Na vyeti Bali output ya MTU.
Ebu fikiria yule Dr. aliyesoma hadi akapelekwa Urusi na serikali akafaulu miaka 7 akaja kufanya kazi hadi kufikia kuwa RMO moro halafu akaondolewa eti cheti cha form iv hakikuwa chake. Hata kama ni kweli maana udaktari hafanyii cheti cha form iv anafanyia ujuzi mwingi alioupata ndani na nje ya nchi. Watu hawa watafutiwe utaratibu mwingine au hata faini. Ila Daudi kwa vile hafanyi kazi yenye ujuzi anapeta tuu.Si kweli hata kama wametumia vyeti si vyao Lkn wamekaa darasani Na Huwezi ufeki utaalamu.Huwezi ufeki ualimu,udaktari,uinjinia,udereva nk cheti ni makaratasi.Nchi zilizoendelea huwa awahangaiki Na vyeti Bali output ya MTU.
Ebu fikiria yule Dr. aliyesoma hadi akapelekwa Urusi na serikali akafaulu miaka 7 akaja kufanya kazi hadi kufikia kuwa RMO moro halafu akaondolewa eti cheti cha form iv hakikuwa chake. Hata kama ni kweli maana udaktari hafanyii cheti cha form iv anafanyia ujuzi mwingi alioupata ndani na nje ya nchi. Watu hawa watafutiwe utaratibu mwingine au hata faini. Ila Daudi kwa vile hafanyi kazi yenye ujuzi anapeta tuu.
Kwa mtazamo wangu mtu aliyeghushi cheti na aliyeghushi taaluma ni lazima watofautishwe. Kuna mtu hajasomea taaluma husika ila kachukua cheti cha mwingine na kujifanya ni mwanataalamu wa fani fulani, huyu ni mtu hatari na anastahili hata kushitakiwa.Kulikuwa hakuna tija kumfukuza Kazi mtaalamu aliyefanya Kazi miaka mingi kisha cheti cha form four tena cha miaka 20 nyuma MTU kasoma hadi urusi.Ilitakiwa waondoe Watumishi hewa Na sio wenye shida za vyeti,
Hujamwelewa. Ikiwa ni hivyo, hata hapo ulipo unaweza tendewa sivyo, hutalalamika? Utahamia shughuli nyingine kienyeji tuu? Kubwa tuheshimu haki za wengine, haya ni mapito. Kuna watu wamefanyiwa vetting mbalimbali, mabosi vihiyo wamewaangusha!Umaskini huu. Mbona wapo wengi tu wameshasahau hata kama waliachishwa kazi na wengine weshafungua hadi biashara na wameajiri wenye hizo degree? We endelea kudhani kuna Mtu amekalia riziki ya mwingine wenzio wanatafuta maisha.