Kwa haya ya naibu thupika nimewathikia wenyewe 'chama cha maporomoko' wakithema tumeingia chaka,NIKAWAAMBIA HAPANA ni "wenyewe wametuingitha chaka".,wakathema ni kweli bora wangemweka Beni.
Mmmh!!!Nikawathikitikia wanavyoithoma namba nikakotha cha kuongea.,Nikawatoka nikiwatha nikaona kama kuna kaukweli pamoja na kuwa kwa mtathamo wangu ukimweka Bern kushoto na tingatinga kulia bado nilikuwa ninapata........