Top Thinker
Senior Member
- Sep 8, 2011
- 183
- 125
Habari za wkt huu mabibi na mabwana!!ebana,kuna shori mmoja hvi yuko mwaka wa kwanza hapa ud,nlimpgaga sound tangu last semister,akawa kaingia line bt akawa ananchomolea kunionjesha tunda,sasa juzi kati hvi natoka zangu mkoan si nikameet nae hapa chuo,nkamkumbushia lile suala langu la kumtafuna,akawa kakubali,ila alchonishangaza,akaniambia kama nataka kumtafuna bac nisitumie zana{condom} na sababu aliyoniambia tu ni kwamba hapendi kutumia hzo mambo..sa mie nkajzngusha wee,thn nkampotezea,lakn yeye bado ananikumbushia na leo kaniuliza kama nlikua namzngua au vip?sasa wakuu wangu,huyu mmanzi,nimueleweje,au anataka kuniua mwenzenu?
Uharo the crappp!!!!!
wakati mnafanya mapatano ya kutumia au kutotumia mlikuwa wapi?
Kwani ungemvua chupi , ukamchezeaaaaaaaa mpaka awe hoi then ukavaa ndom angeichomoa ikiwa shimoni?