Hataki tutumie zana.

Habari za wkt huu mabibi na mabwana!!ebana,kuna shori mmoja hvi yuko mwaka wa kwanza hapa ud,nlimpgaga sound tangu last semister,akawa kaingia line bt akawa ananchomolea kunionjesha tunda,sasa juzi kati hvi natoka zangu mkoan si nikameet nae hapa chuo,nkamkumbushia lile suala langu la kumtafuna,akawa kakubali,ila alchonishangaza,akaniambia kama nataka kumtafuna bac nisitumie zana{condom} na sababu aliyoniambia tu ni kwamba hapendi kutumia hzo mambo..sa mie nkajzngusha wee,thn nkampotezea,lakn yeye bado ananikumbushia na leo kaniuliza kama nlikua namzngua au vip?sasa wakuu wangu,huyu mmanzi,nimueleweje,au anataka kuniua mwenzenu?

Uharo the crappp!!!!!

wakati mnafanya mapatano ya kutumia au kutotumia mlikuwa wapi?

Kwani ungemvua chupi , ukamchezeaaaaaaaa mpaka awe hoi then ukavaa ndom angeichomoa ikiwa shimoni?
 
tafuna huyo raia ndio mtindo wao siku hizi. Anajua akikuambia hivyo utabadilisha nia. Fanya hivi wewe mkubalie ila beba zana mfukoni kimya kimya, kabla ya kucheza chakacha si unamlegeza kwanza ukiona tayari basi toa zana vaa nijuavyo hawezi kukataa
 
We umetaka kitu,ukaambiwa utapewa lakini kwa shart hlo gumu la kushtua..!na wewe kama huwez ingia kwenye chaka bila buti kwa kuhofia usalama wako,muweke waz...
Lakini nakushaur ufanye likufaalo na lililo jema zaidi..
 
hiyo rahisi sana mbona, ye si kakupa condition, na wewe mpe condition mwambie mkapime. Sikuiz majibu yanatoka fasta tena siku hiyo hiyo usiku wake mnabanjuka. Kasheshe kama na wewe unaogopa vipimo....mweeeeeh
hilo nalo neno....!!!!
 
piga kitu stereo hicho kumaximize utamu then fumba macho usubiri mrejesho nyuma..
 
Mmh!!ndugu hapo sasa anataka kukutia kwenyeshimo la taka mzee,,lakini cheki stuation kwanza kabla hujamlamba..mjitose mkenye vipim,maana mmh!! Ujitose kwenye baridi bila sweta mzee ni balaa..
 
Kukuambia no condom it means hataki bado!! Anakupima uelewa wako!! wewe mwambiiye mguu kwa mguu mkapime kwanza akikubali basi kweli ana nia lakini akikataa basi hataki it is a polite way ya kusema NO!!
 
uandishi wenyewe mtoto wa miaka 15, huku kwa wazee umefuata nini wewe, hebu nenda FB kule utapata majibu fasaha.
 
Mara nyingi situmii zana lakini najua madhara yake, na ukishamaliza Tendo ni majuto mwanzo mwisho..ndugu yangu nakushauri mkapime kwanza..
 
Hiyo rahisi sana mbona, ye si kakupa condition, na wewe mpe condition mwambie mkapime. Sikuiz majibu yanatoka fasta tena siku hiyo hiyo usiku wake mnabanjuka. Kasheshe kama na wewe unaogopa vipimo....mweeeeeh

huu ndo ushauri sahihi kwa kipindi ulichonacho, tatizo kama ulisha-duuuuu tayari, kazi kwako!
 
Habari za wkt huu mabibi na mabwana!!ebana,kuna shori mmoja hvi yuko mwaka wa kwanza hapa ud,nlimpgaga sound tangu last semister,akawa kaingia line bt akawa ananchomolea kunionjesha tunda,sasa juzi kati hvi natoka zangu mkoan si nikameet nae hapa chuo,nkamkumbushia lile suala langu la kumtafuna,akawa kakubali,ila alchonishangaza,akaniambia kama nataka kumtafuna bac nisitumie zana{condom} na sababu aliyoniambia tu ni kwamba hapendi kutumia hzo mambo..sa mie nkajzngusha wee,thn nkampotezea,lakn yeye bado ananikumbushia na leo kaniuliza kama nlikua namzngua au vip?sasa wakuu wangu,huyu mmanzi,nimueleweje,au anataka kuniua mwenzenu?
Parapanda italia parapanda...parapanda!!!X 4...na wateule watakuwa wamekwisha nyakuliwa...kwenda...kumlaki bwana Yesu mawinguni....!!!!!
Nenda kajilipue na huo wimbo tutakuimbia...
 
Habari ya afya yako kuwa salama sio jambo la kufanyia mchezo
Ili uwe Huru Mkapime na tumieni Condoms kwa USAHIHI

Baada ya miezi mitatu mkapime tena na kuamua kuaminiana ndipo waweza kuwa huru na hayo

Acheni Uzinzi, Mtaangamia
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom