Hataki tufanye mapenzi

Aisatu

JF-Expert Member
Dec 27, 2012
775
321
Wakuu habarini,

Naomba ushauri nina msichana wangu namuomba mzigo anasema hadi nikaonekane kwa wazazi wake, wakati hela ya matumizi natoa kila anapohitaji. Nitumie mbinu gani ili nifanye nae mapenzi? Na ninampenda sana nilimwambia aje home akaja na rafiki yake.

Ushauri wenu wakuu.
 
Many nights we've prayed
With no proof anyone could hear
In our hearts, a hopeful song
We barely understood

Now we are not afraid
Although we know there's much to fear
We were moving mountains long
Before we knew we could, oh yes

There can be miracles when you believe
Though hope is frail, it's hard to kill
Who knows what miracles you can achieve
When you believe, somehow you will
You will when you believe
 
Kwa hiyo akiacha kupokea hela na akaendelea kugoma kutoa "mzigo", case yake itakuwa justified?
 
One day utamla tu usijal
Wanawake ni wazaifu ww tafta weakness yake ikoap tena usionyeshe km unataka mzgo atahis unataka kugegeda thn usepe..
Jifanye unamalengo naye ya ndoa zaid na umeplan mpaka ndoa ndio mfanye
Hapo atakuwa huru kuja mageton anaeza kuja siku ya kwanza unampotezea other tm unaandaa kabisa mazngra ya kumshawsh kumgegeda akija geto unaweza kuandaa msosi au vivywaji na huku mkichek muvi mwsho wa mchezo utakula mzgo kiulaini sana hutakiwi kufos
Ww jifanye sio mpenda papunch itampa uhuru wa kukutembelea akiwa mwenyewe
 
Siyo rahisi namna hiyo mkuu, kama kuna watu wanafanya yao wewe utaendelea kuwa provider!
 
Ikifika wakati wa ucku mida ya saa 4 anaongea sana kwenye simu , ukimuliza anasema anaongea na marafiki
Ndege keshanyonyokewa manyoya huyo.. Wewe unahudumia kwa kutoa hela wenzako wanahudumia kwa kugegeda.
 
AHAHAHAHHHAHAA...USIPOPEWA WEE ANAPEWA MWENZIO.

KWANI NI LAZIMA UMGEGEDE?... HATAKI UMGEGEDE ACHANA NAYE TAFUTA ANAYETAKA KUGEGEDWA.

BY THE WAY... UNAMPA HELA ZA MATUMIZI HANA WAZAZI?...UMEJIVISHA JUKUMU LA MZAZI HALAFU UNATAKA KUMVUA CHUPI MWANAO?...KWELI?.... HATA IMANI ZA DINI NA TAMADUNI ZETU HAZIRUHUSU UCHAFU HUO KUFANYIKA...ACHA MARA MOJA KUMTAMANI MTOTO WAKO... KULA WATOTO WA WENZAKO WAKWAKO ATALIWA NA WENZAKO.
 
Sasa na wewe si umwambie na hela za matumiz asubir mpka mkitambulishana? shida iko wapi sasa hapo
 
Ndege keshanyonyokewa manyoya huyo.. Wewe unahudumia kwa kutoa hela wenzako wanahudumia kwa kugegeda.
Daaa, naona hii imenikuna mkuu, mm mwenyew nimefikilia sana eti yeye bikra na huu ulimwengu wa saiz? Mfano jana alisema niende kumtembelea home kwao nimefika tumeongea sana hadi tukakumbatiana vizuri tuu lkn mzigo hataki kutoa ananza kutoa visababu eti yupo kwenye mfungo. Ila naona nikiwa naenda sana kwao uwezekano ni mkubwa wa kugegeda.
 
Ishu ni mfungo au hataki kukupa!! Inawezekana akawa bikra,cha msingi wewe mchunguze vizuri. Wewe nia yako ni kugegeda tu usepe au una mipango nae? Anasoma au yupo mtaani.
 
Mara ya kwanza alikuwa anasema hadi kwa wazaz wake saiz anasema yupo kwenye mfungo. Yeye yupo kitaa
 
Back
Top Bottom