Hataki tufanye mapenzi mpaka tuoane

Hataki tufanye mapenzi mpaka tuoane

shareef95nes

Senior Member
Joined
Jan 16, 2013
Posts
108
Reaction score
16
Habari zenu wakuu.

Nina rafiki yangu wa kike ambae ninampenda sana. Tupo kwenye mahusiano kwa miezi minne sasa. Mahusiano yetu ni mazuri, ila kila nikimuomba tushirikiane faragha (yaani kufanya mapenzi) anakataa na kusisitiza mpaka tuoane.

Nampenda ila pia nahitaji anipe penzi lake faragha. Naomba mnishauri, nifanye nini?
 
Huyo ndio mke wa kuoa, usiwe na pupa, fanya mchakato wa kumuoa ujilie vyako taraatibu.
 
Anaogopa usimtumie na kuishia. Ni wazo zuri alilokupa kama kweli unadhamiria kumuoa. Kama una nia kwanini upate taabu si umuwowe tu upate hiyo faragha yako inayokusumbua? Kinachogomba ni kwamba siku ukimkuta keshaharibiwa utalia kilio cha mbwa.

Siwezi kusema kuwa anashikilia msimamo huo kwa vile ni mtaua. Lolote lawezekana. Anaweza kuwa au saa nyingine ana udhaifu ambao hataki uujue kabla ya kuji-commit.

Ndoa ndoana mwanangu. Inakupasa ufanye uchunguzi kweli maana hiyo miezi minne ni muda mfupi sana.
 
na wewe inaonyesha ukisha onja tu una potea,bora aendelee na msimamo huo huo!!na wewe kwa nini unataka kubip wakati itakuwa yako na utakuwa unaipiga utakavyo!!au siyo muoaji hivyo unataka kuchovya na kusepa!!!
 
na wewe inaonyesha ukisha onja tu una potea,bora aendelee na msimamo huo huo!!na wewe kwa nini unataka kubip wakati itakuwa yako na utakuwa unaipiga utakavyo!!au siyo muoaji hivyo unataka kuchovya na kusepa!!!

hamna bro nikichovya sisepi!!,i really luv her
 
shake well before use.. it is written!
 
shake well before use.. it is written!
ha ha ha!haya ma misemo unadhani yana maana sana kuna jingine linasema practice make perfect ndo jamaa wengi wanalitumia!!!
 
Amri ya sita inasema Usizini

Amri ya Sita ya Biblia inasema Usiue na ya saba inasema USIZINI mkuu.

Anyway, shareef95nes, huyu ndiye binti afaaye, kama una uhakika utakuwa naye/unataka kuwa naye, huna haja ya kuwa na wasiwasi, mtakaa faragha hadi mpeane pumziko!
 
Last edited by a moderator:
huyo ni bonge la mtu take care usimpoteze kwa papara zako,,big up mkuu.:target:
 
Hayo hayamo, uchakuja ana kinanihili kirefu kama mkia wa paka. Ziuziwi mbuzi kwenye gunia kamwe.
 
Kama hataki mfanye mpaka muoane,basi na wewe akikuomba pesa usimpe mwambia mpaka muoane.
 
Back
Top Bottom