Hataki relationship anataka situationship (story ni ndefu)

Huyo hajamove on trust me...bado hisia zake ziko kwa jamaa alomzingua...kama kweli unampenda Fanya jitihada za kuubadili mtazamo wake ili aweze kumsahau jamaa na kukupenda wew,LA kama unaona huwezi hiyo kazi baas mpotezee na uendelee n mambo yako.Kuwa makini unapowekeza kw mtu mwenye maumivu
 
Daby......
 
this we call it FRIEND FOR BENEFIT anajua anacho taka toka kwako na wewe tengeneza mazingira ya kujua unachotaka toka kwake FULL STOP.
 
Unajiuliza kama u-move on ama vipi....u-move on from what exactly?? Nyinyi ni 'friends with benefit' basi.



Na binti bado ex wake bado hajamtoka moyoni so we enjoy while it lasts..
 
mbona mnatumia gharama sana kwenye mahusiano?naona mara mbalamwezi mara Samaki samaki...wenzetu mna vipato vikubwa sana eeeh?mtakaa mjenge kweli?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…