Preta ukizungumzia gari usichukulie tu buying cost also runing cost zinaweza zikazidi buying cost ,kwa hiyo gharama yake inazidi hata kiwanja nashauri vijana wajipange sana na maisha mikopo ya magari wajenge nyumba jamani kulilea gari ni kazi from my experience
sasa unawatisha wasijenge au kama wengine wanaweza kwanini yy,then IF U CANT CONVINCE CONFUSE kwa hiyo unashauri watu waendelee kupanga sio sehemu zote viwanja ni ghali tatizo,watu hupenda masaki,mbezi,osteybey unategemea nini?Nivea, hesabu zako ni za wapi .....mmmhhh... sijazielewa. bei za viwanja sasa hivi ni sawa na magari mawili. msingi wa nyumba makari mawili pia. ukitoka kwenye msingi, kupandisha raha, japo sawa na kagari kamoja tena kadogo. njoo kwenye kuezeka, another 2 cars, bado finishing... usione nyumba zimesimama, labda kama unataka kujenga kibanda kwanza halafu nyumba ujenge baadae kama wengine wafanyavyo.
ndio maana wenye nyumba wanakua wanyanyasaji sababu ya gharama kubwa. kununua gari kila mmoja akijipiga ananunua. lakini si kujenga jamani.
utanunuaje gari nyumba ya kupanga......?
weekend hii nimetembelea jamaa zangu mitaa fulani .........amepanga na ana gari.Hiyo nyumba ina wapangaji wanne na wote wana magari y akutembelea....nyumba ina uwanja mkubwa tu wa kutosha kupaki hayo magari...kwa bahati mbaya au nzuri mwenye nyumba hana gari,bado ni mtu wa makamo na anafanya kazi...siku za hivi karibuni ameanza vituko vinavyoonekana kama ni wivu...achilia mbali kwamba huwa hataki lift za hayo magari ata kama mvua zinanyesha na amewanyima hadi wanae kuyapanda.......tabia mpya nipamoja na kudai watu walipie parking 1000 kwa siku,mara mlinzi,mara anahatarishiwa usalama wa nyumba yake,mara anakosa hewa ya kutosha kil ammoja anapewa sababu..wakat mwingine anasikika akiponda utanunuaje gari nyumba y akupanga.........huyu mzee kijana wanamheshimu sana;tunajua yupo hap aJF pia..AJIREKEBISHE au aweke madai mezani.....na wenye nyumba hapa JF mshaurini mwenzenu..........
gari 8-15 million, namaanisha magari yetu vijana wa kisasa na ya mikopo, alf nyumba 25-50 million, kiwanja included.hivi jamani.....gari ni shs ngapi na nyumba shs ngapi.....?
preta mrembo wangu, hapo na mimi ndo huwa nashangaa, mtu ananunua gari wakati hana hata nyumba...garama ya ku maintain gari kwa mwaka inatosha kujenga nyumba....siku hizi huko kimara kuna viwanja hadi vya milioni nne, tano etc, gari ananunua ya shilingi milioni kumi na mbili hivi, inatosha kabisa kujenga pako, ukaepuka fedhaha hizi. ukishajenga, ndo sasa nunua gari walau moja, afu hela zingine jenga nyumba na wewe upangishe, utapanga kwa wenzio hadi lini?...wabongo wanapenda starehe na matanuzi wakati mishahara yao midogo.utanunuaje gari nyumba ya kupanga......?