figganigga
Platinum Member
- Oct 17, 2010
- 28,165
- 64,518
Hahahahaah kashaolewa acheni kumfata fata..
ezekiel. mia
Hahahahaah kashaolewa acheni kumfata fata..
Ndoa sio sawa na uboi frend na ugel frend.Mbonaa kazeeka hivi
Mtoto gani, yule aliyemuoa?hata ukimuuliza kuhusu mtoto hataki kujibu. sijui ndo nyodo?!. mia
Mtoto gani, yule aliyemuoa?
Mbonaa kazeeka hivi
Mh!anavutia kweli kumtawanya!
huwa inazehesha mkuu. mia
Precisely mkuu,tupo pamoja!Nimekupata man, a.k.a ku-spread.