ngakotecture
JF-Expert Member
- Dec 30, 2014
- 2,864
- 3,241
Nadhan hufaham ndoa ni nin otherwise usingemlazimisha.Habari wakuu ni hivi nina demu wangu wa kitambo kidogo na mimi ndio nilimtoaga usichana sasa alihama mitaa yetu kuna mahali anaishi,sasa kipindi hiki nimempa ofa ya ndoa amegoma kuishi na mimi na nazani hata tabia zake ni za ajabu kwan avai nguo za stara mimi nilitaka nimbadilishe but anaonesha kureact msaada wakuu nifanyaje na mimi naitaji kuoa.
Mtafute mwingine! Kama mwanamke hataki usimlazimishe, atakusumbua!!!Habari wakuu ni hivi nina demu wangu wa kitambo kidogo na mimi ndio nilimtoaga usichana sasa alihama mitaa yetu kuna mahali anaishi,sasa kipindi hiki nimempa ofa ya ndoa amegoma kuishi na mimi na nazani hata tabia zake ni za ajabu kwan avai nguo za stara mimi nilitaka nimbadilishe but anaonesha kureact msaada wakuu nifanyaje na mimi naitaji kuoa.
In short wewe sio chaguo lake la milele but temporarily, so find yours plzSasa mkuu kama kashakataa, mwache! Hapo wala ulikuwa huna haja ya kukimbilia kulia huku, zaidi huku hakuna kipya utakachokipata cha kumfanya atake kuwa na wewe kama ndo maumuzi yake!