Hataki kunipa penzi eti hadi nimuoe

Hataki kunipa penzi eti hadi nimuoe

Lazima ameshasimuliwa habari zako, ameshaambiwa ulivyo mchafuzi wa mazingira. Na wanao kina Maureen, Travis na Sean keshaonyeshwa namna ulivyowazalisha mama zao na kuwapiga chini.
Na bado unaitwa baba kijacho kwa mdogoake mama Maureen...
Na huyo unataka kumfanya single mother
Keshakushtukia...
Umekuwa kiwanda cha kuzalisha ma single mother...

Bora tu akatae...
Mmmmmmh.......aiseee
 
Wewe mharibifu mwenzio keshasema mpk muoane. Kwanini unamtaka kuwa kama chukua chako mapema? Ili iweje? NA Wenzio wakija wapate nini?
 
Hebu nitumie namba yake ili nihakikishe kama kweli ni bikra hlf nitakupa mrejesho mkuu
 
hiyo bikra labda ya kwapa.. shtuka ndugu inatafutwa ndoa2 hapo akuna cha bikra wala bikal
 
Wengine wako okey tu mkuu
Ni kweli kuna wengine wanakuwa wameelekezwa kufanya hivyo n.k lakini ukichunguza, wanawake wengi wanaokimbilia ndoa bila kuhoji sana ili kumjua mwanaume kiundani na baada tu ya kutongozwa,huwa wanakuwa wamechoka kusumbuliwa na kudanganywa na hata kukata tamaa na kigezo kikuu huwa ni kutokutoa papuchi kabla ya ndoa. Humparamii kizembe mwanamke aliepitia mengi halafu umuache baada ya kumfunua.
 
ni shart ambalo mm linanishindaga, labda msoma comment,,,eti?
 
Wew ulikuw king'ang'aniz ili akukubali akaona njia rahis ya kukukataa ni kukupa shart la kumuoa nawe wajijua kabsa wataka papuchi tu.
Hakika kafanikiwa kisomi kukutaa
 
Ng'ang'ania hadi akupe ili uwe na Hakika usije ukamuoa kumbe kakeketwa Bikra yake ishaliwa na ngariba.

Ila je ni kweli unamalengo nae
 
Mnyimwe tu na mimi nasema wadada muwanyimeni tu hadi wawaoe maana hakuna namna mkiwapa wanakimbia. Huyo dada Mimi namuita "shujaa" kwa kukunyima hadi umuoe. Wewe unafikiri ni wangapi walimfata na ahadi ya ndoa wakipewa wanakimbia? Dawa ni hiyo hiyo hakuna gegedo kama huna cheti cha ndoa hata ukikimbia ndoani sheria za ndoa zitachukua mkondo wake
 
Hapa mtaani kuna demu kahamia,ni mzuri,na ana shape na rangi nzuri sana.nimemtongoza na kanikubalia.sasa nashangaa naomba papuchi ananigomea na hata muda wa faragha nae sipati.ananiambia eti atatoa penzi hadi nikimuoa kwa kuwa yeye ni bikra.maswali ninayojiuliza ni je nikimua harafu nisiipate bikra itakuwaje?
NB:nimeshindwa kuwa na mpenzi hewa,ajabu nikimpotezea lazima anitafute na kulialia sana
Pole sana mkuu, huyo mtoto anazingua kukupa game kwa sababu ulimtongoza mkuu. Wanawake wa siku hizi hutakiwi kutumia nguvu nyingi kihivyo mkuu yani kuna mbinu inabidi upewe ambazo demu anajikuta amekupa papuchi bila ya kumtongoza.

Ukitongoza ndiyo mwanzo wa kuzingua mara Nina mtu wangu tena nampenda ooh sasa hivi sitaki mapenzi tu nataka "Healthy Love" Mara "Real Love " hivyo basi kwa hali hii kama unakipururu kimekujaa inakuwa shida sana unaweza kujikuta umemtukana manzi kisa anabania mambo bila kujua una ukame wa mwendokasi.
 
umenena point mkuu
 
Back
Top Bottom