Hujiamini princessita?kwanini unashindwa kung'amua mitego midogo kama hiyo?ndo huyo aliyekwambia amuache demu wake wazamani ili akuchukue wewe au mwingine?
nisubirini
siku zote huwa naamini sisi wanaume ni vichwa ndo tunapaswa kuongoza,ila wanawake ni shingo.hivyo basi shingo ndo ina control kichwa japokuwa kichwa ndo kimetangulia.ukimuona mwanamke analega katika mambo madogo ya namna hii ujue hata familia kuiendesha itakuwa kazi.katika vitu ambavyo havihitaji elimu kabisa ni namna mwanamke anavyoweza kumkontrol mwanamme.it's natural!!!!!(sio ukapige limbwata manake siku likieksipaya utakiona).
miss strong tell her,to that man she is just a mere nobody,nothing#@$$%%^&*^%$#mengine nimeyasema kimoyomoyo
Nina mwenza wangu hataki ajulikane kama tunamahusiano nae yani hataki hata kuweka picha yangu kwenye socila networks ikiwemo facebook twitter watsup bbm na kadhalika hata mi nikisema niweke ananijia juu akiziona nimemuweka na mm namuweka kwa mapenzi to be proud of him ila ye hataki anasema ntoe sio vizuri ila wanawake wengine anaweka na kuwasifia wengine wanamwita mume mpenzi mi naona na niko kimya tu mpaka sasa nimeamua na mimi nikae kimya wadau niambieni siri iliojificha hapa kama ananipenda kweli is aweke wazi kila kona kwani nini afichefiche najihisi kama sio priority kwake ni ptional
haya mapenzi ya kisasa haya kazi kweli kweli, kwamba akiwekwa kwenye hizo social media ndio tafsiri gani? anapendwa sana ama? jamani wanaume wana kazi kweli na hawa wadada wa kisasa.
na mimi najiuliza ivo ivo?
Huyo hakutaki!
Kama vipi nikutumie picha za kwangu uweke ktk profile zako! Na wewe unitumie za kwako niziweke ktk profile zangu! (serious)
kweli..iyo inaepusha maumivu
haya mapenzi ya kisasa haya kazi kweli kweli, kwamba akiwekwa kwenye hizo social media ndio tafsiri gani? anapendwa sana ama? jamani wanaume wana kazi kweli na hawa wadada wa kisasa.