Hataki kuachana na ex wake

Hataki kuachana na ex wake

Hata ukiendelea naye atakuja kukusumbua mbelen we pga chini tu yan hakufai nakushaur kama mtu mzima anayeelewa kinachoendelea ukishindwa urudishe na mrejesho hapa na nyie wanaume au mwanamke yoyote mtu mkiachana achana kwel mawasiliano yanatoka wap
 
Nani kakudanganya kuwa anahitaji hiyo nafasi. alichokuwa anapata kwa ex wake hujafikisha,anachopata kwako akijumulisha na ex wake ndo anakuwa kamili. Achana naye
Nilimpa nafasi ajirekebishe na kumuonya,na alivyozidi nikamuacha ila akaja akaomba msamaha mbele ya ndugu yake ila cha ajabu bado anaendelea
Mkuu sina mengi ya kusema,wala sitaki kujisifia nilitamani kukuPM lakini nakujibu hivi

Nina Biashara zangu na nina supply maji na vipodozi mikoani mbali na hapo nimeweka usafiri barabarani so kwa siku ninachokipata ni siri yangu,naofia kuwa kama MO.

siku njema
 
Huyo mwanamke ni kimeo,cha wote, atakuja kukusumbua bure,achana naye,anang'ang'ania wanaume waliopita na wewe umo tu,utakuja kufa kwa stress mkuu.hana sifa za kuwa wife material huyo,hakuheshim
 
Wanawake wengine hatujui tunataka nini,umeachwa umo tu bila aibu,anachukua mwanamke mwingine umo tu..alikuacha akaona hufai akabeba mwingine ambaye anathamani kuliko wewe bado umo tu...mungu atuhurumie sana
 
Juzi nikatumiwa sms kutoka kwa mwanamke wa jamaa huyo ambaye ni ex wa mpenzi/ mchumba wangu kuwa mbona mke wako ananisumbua ,anakuwa anawasiliana na mpenzi wangu,anataka nini?

Hapa nimekaa nawaza nichukue hatua gani kwa huyu mwanamke maana ,sijui kwa nini wanawasiliana na ex wake?

Na ww muulize huyo mwanamke mbona mumewe anawasiliana na mkeo? Kama vipi elewaneni maanake hapo wapenzi hamna
 
Choma kisu cha tumbo mkuu, hawa viumbe huwa hawasikii mpaka umfanyie tukio moja amazying
 
Unless unataka siku tusikie umejinyonga, otherwise mkimbie kama ukoma
 
Yaani hayo yote yametokea na bado uko naye tu?
Wanaume tunapungua kwa suala la maamuzi kweli!

1. Mwite mke wa jamaa, muweke sawa. Mueleze kila kitu, akikuelewa mtafune tena sana.
2. Mpige chini huyo si wa kuishi naye kabisa.
 
Huyo hana mapenzi na wewe. We kula tu kukata kiu, tulia utampata mke mwema usiwe na papara.
 
Mkuu kuna mambo as a matured real man hutakiwi kuomba ushauri.... Unajipa a go mwenyewe... Kwanini uendelee kuwa mtumwa utateseia Sana and inaonekana huyo mwanamke ameisha ona wewe unampenda sana na hauwezi bila true.... Inauma ndiyo ila bora maumivu ya sasa kuliko utakayoyapata siku zijazo..... Achana nae mkuu jiamini kuwa wewe ni wathamani and unaweza mpata zaidi yake ukizubaa hiyo inferiority complex itakuja kukuua na kukwamisha maendeleo y'all....

Guess what notes personality yako....Wewe mpole sana, sio muongeaji Sana, umeanza love ulipofika 18year, unamoyo wa huruma na hekima tele pia umewahi jiapiza hutaki kuumiza wadada..... If true chukua huo ushauri mkuu
 
Jamani habari za asubuhi,nimejikuta kwenye mgogoro wa kimawazo juu na huyu mpenzi /mchumba wangu

Ni mwanamke kutoka mkoa wa kagera tulikutana mwaka mmoja uliopita tukaanzisha mahusiano naye

Kipindi tukiwa kwenye mahusiano mara kwa mara nimekuwa nikimfumania anawasiliana na ex wake,na nilivyofuatilia ex wake ana mwanamke mwingine

Nikamuonya akawa anasema wanawasiliana kawaida,kirafiki maana waliachana bila kugombana

Mimi nikakataaa hayo mawasiliano yao,nikataka yavunjike,ila baada ya miezi kadhaa nikakuta meseji ya kugombana na ex wake akimtuhumu kuwaweka wanawake kwenye dp yake

Nikagomba,na nikavunja mahusiano maana hakunielewa na ,ila baada ya wiki akaja akaniomba msamaha ,akakiri kosa,na akaahidi mbele ya dada yake kuwa hatarudia tena kuongea na ex wake

Juzi nikatumiwa sms kutoka kwa mwanamke wa jamaa huyo ambaye ni ex wa mpenzi/ mchumba wangu kuwa mbona mke wako ananisumbua ,anakuwa anawasiliana na mpenzi wangu,anataka nini?

Hapa nimekaa nawaza nichukue hatua gani kwa huyu mwanamke maana ,sijui kwa nini wanawasiliana na ex wake?

We wa Dar au mkoani?
 
Nakushauri ujinyonge hadi kufa au nyofoa hizo kende zako zote,Huu ni uzuzu kweli wewe nawe ni mwanaume kweli!?
 
Jamani habari za asubuhi,nimejikuta kwenye mgogoro wa kimawazo juu na huyu mpenzi /mchumba wangu

Ni mwanamke kutoka mkoa wa kagera tulikutana mwaka mmoja uliopita tukaanzisha mahusiano naye

Kipindi tukiwa kwenye mahusiano mara kwa mara nimekuwa nikimfumania anawasiliana na ex wake,na nilivyofuatilia ex wake ana mwanamke mwingine

Nikamuonya akawa anasema wanawasiliana kawaida,kirafiki maana waliachana bila kugombana

Mimi nikakataaa hayo mawasiliano yao,nikataka yavunjike,ila baada ya miezi kadhaa nikakuta meseji ya kugombana na ex wake akimtuhumu kuwaweka wanawake kwenye dp yake

Nikagomba,na nikavunja mahusiano maana hakunielewa na ,ila baada ya wiki akaja akaniomba msamaha ,akakiri kosa,na akaahidi mbele ya dada yake kuwa hatarudia tena kuongea na ex wake

Juzi nikatumiwa sms kutoka kwa mwanamke wa jamaa huyo ambaye ni ex wa mpenzi/ mchumba wangu kuwa mbona mke wako ananisumbua ,anakuwa anawasiliana na mpenzi wangu,anataka nini?

Hapa nimekaa nawaza nichukue hatua gani kwa huyu mwanamke maana ,sijui kwa nini wanawasiliana na ex wake?
Sasa wa nn huyo au hujui watu wa kagera tabia yao mkuu?
 
Inasikitisha sana uanaume unapotea kabisa unashindwaje kuamua jambo kama hilo halafu mtu unajiita rijali
 
Jamani habari za asubuhi,nimejikuta kwenye mgogoro wa kimawazo juu na huyu mpenzi /mchumba wangu

Ni mwanamke kutoka mkoa wa kagera tulikutana mwaka mmoja uliopita tukaanzisha mahusiano naye

Kipindi tukiwa kwenye mahusiano mara kwa mara nimekuwa nikimfumania anawasiliana na ex wake,na nilivyofuatilia ex wake ana mwanamke mwingine

Nikamuonya akawa anasema wanawasiliana kawaida,kirafiki maana waliachana bila kugombana

Mimi nikakataaa hayo mawasiliano yao,nikataka yavunjike,ila baada ya miezi kadhaa nikakuta meseji ya kugombana na ex wake akimtuhumu kuwaweka wanawake kwenye dp yake

Nikagomba,na nikavunja mahusiano maana hakunielewa na ,ila baada ya wiki akaja akaniomba msamaha ,akakiri kosa,na akaahidi mbele ya dada yake kuwa hatarudia tena kuongea na ex wake

Juzi nikatumiwa sms kutoka kwa mwanamke wa jamaa huyo ambaye ni ex wa mpenzi/ mchumba wangu kuwa mbona mke wako ananisumbua ,anakuwa anawasiliana na mpenzi wangu,anataka nini?

Hapa nimekaa nawaza nichukue hatua gani kwa huyu mwanamke maana ,sijui kwa nini wanawasiliana na ex wake?
We jamaa una mda mpaka za kuwaza pamoja na yote hayo,achana nae ,wanawake ni wengi kwanini upote nda wako kwa mwanamke ambaye hakuelewi
 
Back
Top Bottom