Wanaume wengi wa kiafrika wanahusudu sana hiyo ''nguvu za kike''.Huyu hapaKwa Wale Ambao Hamjui Kuwa Wanawake Wana Nguvu Za Kike Pia Kama Tulivyo Nazo Sie
Wanaume wengi wa kiafrika wanahusudu sana hiyo ''nguvu za kike''.Huyu hapa
akitembea kwenye mitaa ya mjini nairobi,kutatokea ajali nyingi sana magari kugongana!
Ni Kweli Mkuu Unachokiongea Hizi Nguvu Zao Huwa Tunazihusudu Sana Na Ndiomaana Wanafanya Juu Chini Ili Wawe Nazo