Jijune mfwene
JF-Expert Member
- May 6, 2015
- 267
- 182
mkuu umekuwa mkali kama unaongea naye,punguza jazba basi ili tukuelewe kwani yeye yuki humu????
Punguza munkari kijana pata glasi ya maji halafu tiririka taratibu tukuelewa shida nini somo?Hata umbembeleze vipi hata umpe kila kitu bado mwanamke huyu haridhiki hata ukipenda na hata ukawa zuzu bado yeye unamuudhi hivi nyie wanawake mufanyiwe nini na waume zenu mupate kuridhika.
Sasa akijaribu kudai talaka tu fasta sitachelewa nitatoa bila kinyongo na huku najipongeza na moja moto moja baridi kama bado hauja oa yafahamu mapungufu ya mtu unaetaka kumuoa kama huwezi yavumilia.
Usijaribu kumuoa hata bila ushahidi.
nje ya ndoa ndo wapi huko jamani?
yaani wanawake hawajui wanachotaka
ukimpa hela atataka good sex
akipata good sex atataka muda wa kuwa nae hapo hajui muda utakao utumia ndio unautumia kutafuta hela na bado atataka umsaiidie vikazi vikazi vya nyumbani ili ajue unajali
atataka muda wote mchart muongee na simu bila kuuliza muda unatoka wapi
kimoja wapo kikimiss tu umechapiwa