kweli kabisaaaaaaa, na mama anavyopenda wageni, atafurahije sasa???? karibuni sana! lolest!
kweli kabisaaaaaaa, na mama anavyopenda wageni, atafurahije sasa???? karibuni sana! lolest!
Kumbeee ati na kweli ni kijana mdogo lakini ana wapambe sijapata ona akikohoa wanaitikia tu ndio,wapambe nuksi kuliko tajiri mwenyewe ee bana we acha tuShukrani zimwendee Mama Ana Mkapa aliyemfadhili "kiaina" kijana mdogo Msaki na kutuletea hii makitu maeneo ya karibu. Mlimani City byebye!!
Wala usihangaike, tayari nshapigwa mkwala hapa chini..... Chezeiya Marge?mwambie mapemaaaaaaa huyo mage, kuwa kuna mtaalamu wa kunyonya macho bila ganzi! Akuache mume wangu ujinyweeeee kwa raha zako, sitaki ku-share mie!
I suggest that you leave Marge alone........:becky::becky::becky::becky:
Ngoja nikarenew leseni yangu ya kumiliki bindukimbona kama umetamalaki?? watu8 unataka tuvunje amri ya 6 nini?? maeneo ya fyatanga!! au twende boko inn, maana zero pub wanawajua sana kaka zangu!
Imeandikwa usilitaje bure jina la Bwana Mungu....Hivi na fyatanga ni mall?
mbona kama umetamalaki?? watu8 unataka tuvunje amri ya 6 nini?? maeneo ya fyatanga!! au twende boko inn, maana zero pub wanawajua sana kaka zangu!
Wala usihangaike, tayari nshapigwa mkwala hapa chini..... Chezeiya Marge?
Ngoja nikarenew leseni yangu ya kumiliki binduki
Hah hah atawavunjia wengi,mkienda hapo msiende na waume zenu,muende na serengeti boyzAfu inakuwaje unakuja kwa mama bila hata kunibeep?
pale juu kuna dansi linapigwa Ijumaa mpaka Jumapili. Hiki kiuno changu ndo huwa nakilainishiaga pale.
Kuna mhudumu mmoja pale anaitwa Marge..... naona ana mpango wa kunivunjia ndoa yangu...khaaaa!!
Imeandikwa usilitaje bure jina la Bwana Mungu....
nami nakuamuru usilitaje bure jina la Fyatanga hasa muda wa kazi!!
Wala usihangaike, tayari nshapigwa mkwala hapa chini..... Chezeiya Marge?
Ngoja nikarenew leseni yangu ya kumiliki binduki
mbona kama umetamalaki?? watu8 unataka tuvunje amri ya 6 nini?? maeneo ya fyatanga!! au twende boko inn, maana zero pub wanawajua sana kaka zangu!
Imeandikwa usilitaje bure jina la Bwana Mungu....
nami nakuamuru usilitaje bure jina la Fyatanga hasa muda wa kazi!!
Mi nakuangalia tu!kama vipi twende kule kwingine, hapo Fyatanga ndio jamvi la nyumbani ya ODM, asije akatunanilihuuu bure
Mishikaki ya pale bei zake ntaziwezea wapi na ukata huu? Sanasana itanimalizia bajeti yangu ya Guinness...Ushakula mishkaki ya samaki kwene lile li mooo Babu Asprin
Anakula sana keep change zangu wallah!Yaani hata bili akikupa ina motomoto