Hata sijui nifanye nini, nahitaji ushauri wenu

dj medy

Member
Joined
Aug 11, 2014
Posts
48
Reaction score
9
Hi wanaJF

Naomba ushauri wenu

Girlfriend wangu ambae mwanzo mahusiano yalikuwa kama utani tu lakn kadr sku zlvyo zd kwenda tuljkuta tukpenda kiukwel na tatzo ni kwamba girlfriend wangu kanizidi umri wa miaka miwili na anataka tuoane nashindwa jinsi ya kukataa.

Sijui nifanyeje
 

sina wivu ila siku zote raha ya mwanaume azidi mke wake umri.
 
Acha ujinga umri umeandikwa usoni kinachotakiwa ni mapenzi ya kweli umri na kuoa usivipe nafasi oa tengenezeni maisha yenu.
 
Kwanza ulivyojielezea utakuwa under 18 wewe, embu nenda tuition kwanza.:A S 109:
 
alichokiandika sijakielewa bandugu nielezeni kaandika nini maana naona vifupi vya herufi tu
 
Lady huyu jamaa anambabadua mtt watu lkn dem kamzid jamaa miaka 2 na dem anataka ndoa anaomba umsaidie aoe au asepe?
 
Nashukuruni kwa hayo, binafsi Nimejifunza kitu kwa hayo machache mlioyo nipa na pia naombeni mnsamee bure kwa niliwo wakwaza.
Japo kwa mtazamo wa kawaida linaonekana ni yambo dogo lakini kwa jinsi lilivyo kichwani mwang hakka lina ni tesa sana.
 
hahahahahahaaaaaaaaa usikumbushe ya kule eeeeeee kwetu kule
maana kule mm ndo naongoza igi wakati mechi bado haijaanza hahahahahaa
Touch screen hiyo lazima uende tuition.
 
kugonga unafumba macho ila likija swala la kuoa ndio unafumbua macho????
 
age sio tatizo ikiwa huduma zote utapata unavyostahili
ka amekizi vigezo vyote weka geto fasta usije kutana manyoya!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…