mwenebhukabho
Member
- Jul 11, 2015
- 6
- 5
Siku za hivi karibuni nmekutana na binti mmoja niseme ukweli nilimpenda, nilijitambulisha kwake japo alinijua kama rafiki wa rafiki yake. Alikuwa kabanwa kidogo na mambo yake, nikampa kama wiki hivi kabla ya kupanga kukutana nae ili nimwambie ya moyoni.
Tumekua tukiwasiliana kawaida tu. Kuna siku alimuuliza rafiki yangu juu ya dini yangu, offcz tupo dini tofauti mie ni muislam naye ni mkristo ila kwa upendo huu nikasema na moyo kwamba Mungu ataonesha njia mbeleni.
Hakuonesha kunibadilikia ila sasa tangu ile siku yetu ya miadi ifike mpaka leo siku ya tatu hivi binti hapokei simu wala kujibu meseji.
Wanakambi naombeni ushauri nijipe majibu kuwa ishu ni dini nijiengue au nifanyeje!? Inanivuruga kwa kweli.