Airport Dsm mbona scanner zao zimeandikwa kabisa ChinaAid 🤣🤣Namsikiliza Zuhura Yunus akiongelea safari ya Rais China.
Anasema kati ya mikataba 15 mmoja wapo ni kuwa Serikali ya China itatupatia Scanners kwa ajili ya ukaguzi kwenye viwanja vua ndege.
Hivi kweli kabisa nchi yetu ni ya kusafirishwa mbali kote huko afu tunapewa scanners
Mwingine
Ujenzi wa Makumbusho ya Nyayo za Binadamu,
Hivi kweli kabisa Rais ameona hilo la muhimu
Nyingine
Uendelezaji wa Tehama
Kwanini Serikali isingeacha Sekta Binafsi iwekeze kwenye hiyo sekta kuliko kukubali ipatia China ?
Mwingine eti wameondoa ushuru wa bidhaa kutoka Tz, hizo bidhaa hazimnufaishi Mtz, maana zitanunuliwa na Wachina, watapelekwa kwao
Bora ya hizo skana kuliko wazungu wanaokuja kutujengea vyoo vya msaada.Namsikiliza Zuhura Yunus akiongelea safari ya Rais China.
Anasema kati ya mikataba 15 mmoja wapo ni kuwa Serikali ya China itatupatia Scanners kwa ajili ya ukaguzi kwenye viwanja vua ndege.
Hivi kweli kabisa nchi yetu ni ya kusafirishwa mbali kote huko afu tunapewa scanners
Mwingine
Ujenzi wa Makumbusho ya Nyayo za Binadamu,
Hivi kweli kabisa Rais ameona hilo la muhimu
Nyingine
Uendelezaji wa Tehama
Kwanini Serikali isingeacha Sekta Binafsi iwekeze kwenye hiyo sekta kuliko kukubali ipatia China ?
Mwingine eti wameondoa ushuru wa bidhaa kutoka Tz, hizo bidhaa hazimnufaishi Mtz, maana zitanunuliwa na Wachina, watapelekwa kwao
Mbona inashindwa kujenga vyoo.Ndo nauliza nchi inashindwa kununua scanner kweli
Ukishazoea kuomba omba huoni aibu kuomba hata big gee iliyoliwa mkuuNdo nauliza nchi inashindwa kununua scanner kweli