rushanju
JF-Expert Member
- Nov 3, 2011
- 3,327
- 5,601
Nilitaka kwenda kwenye banda la sabasaba kuulizia kwa nini bunge halirushwi live, ila kwa bahati mbaya nikakuta banda lao nalo haliko live (limefungwa). Nikauliza mlinzi aliyekuwa pale akasema ni kwasababu bunge lilikuwa linaendelea kule Dodoma.
Lakini pembeni lilikuwepo Banda la Mahakama ambalo lilikuwa linaendelea na nikajiuliza mbona mahakama banda lao liko live na kesi zinaendelea kama kawaida? Sikupata majibu.
Lakini pembeni lilikuwepo Banda la Mahakama ambalo lilikuwa linaendelea na nikajiuliza mbona mahakama banda lao liko live na kesi zinaendelea kama kawaida? Sikupata majibu.