hata ninyi mliambiwa piga tu?

Duh hivi Kenya nako wana Pinda wao anayewapa amri za ki-fashist kama huyu wa kwetu?
 
huyo askari kama ameshika kitu kinachoruka/chenyencha kali
 
Waha wanajeshi wa nchi zetu watumie akili zaidi mbona watatumaliza jamaniii inahuzunisha sana aaaaagh
 
hivi kwanini maaskari wa kenya wanavaa masweater?
 

kuna watu awanatengeneza pesa kwa shida, matatizo na mateso ya wenzao. Waangalie hao waandishi wanachofanya hapo, badala ya kusaidia wenyewe wanachukua picha ili wapige hela zaidi. The world isnt fair at all.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…