Kama ni chaguo la Mungu kwetu namtakia baraka zote, na ashukuriwe Mungu kwa kutupa kiongozi Bora.
Mungu anajulikana kuwa ni Mungu wa haki, na ndivyo ilivyo. Je, kura feki zilizoonekana zikisambaa huko kagera na mahesabu na majumuisho ya NEC yenye maulizo ni mpango wa Mungu? Nashindwa kuelewa kiukweli...Mungu ni MUNGU wa haki haihitaji akili za mwanadamu zimsaidie kutenda kile anachotaka kufanya bali humtumia mwanadamu kutimiza neno lake ktk njia ya haki na kweli.