DC nashangaa mnamlaumu mwanamke... hata mie ningeondoka honestly...kwanza hana adabu kamcheat mke wake, pili he is a big liar...yaani mie na watu waongo!!! no matter what he is going to tell me I will not believe him next time...Hebu tema mate chini!!
Cheating siyo kwa wanaume tu, na kwa hiyo suala la kukosa kitu home halipo. Ni kuomba Mungu tu yasikukute endapo bado hii kitu unakutana nayo kama hadithi tu.
Huyo dada alifanya kosa kubwa kuweka mpira kwapani wakati ndo mechi ilikuwa imeanza. Angejifanya anaanza kaundika Novel ya ukomandoo sasa hivi labda hadithi ingekuwa nyingine. Ila kwa kukimbia amempa nafasi mshikaji kuharibu ushahidi wote. Inawezekana tayari keshapiga simu Hotelini kutafuta Mhudumu wa kubeba responsibility.
Hata hivyo nimemkubali huyo dogo. Ni kichwa kweli kweli. Kapata jibu chap chpa na sasa kamwachia mkewe aendelee kuicheza hiyo drama. The guy is very smart (ni kipanga wa kutisha). Ingawa kama kaanza mapema na kupoteza network kiasi cha kubeba ushahidi, his days are just numbered.
Ni mdogo wake na friend wangu, tuliyoisheherekea harusi mwezi May, ni jana my frnd ananical ananiambia mdogo wake karudi nyumbani(kwa wazazi).
Mwanaume alisafiri kama 2 weeks kikazi, karudi jmoc ucku, mke kampokea kwa furaha zote kufurahia mume karudi na alim miss pia, mume yupo bathroom mke akawa anafanyia usafi begi na mume alilotoka nalo safari, alikumbana na chupi ya kike(chafu) na vikaratac vya condom kama vi3, mume katoka kuoga mke amumhoji aliyoyaona, mume anaapa miungu yote kwamba hajui kinachoendelea wala hakuwa na mwanamke huko safarini bali mhudumu wa hotel aliyofikia ndio alimpakia nguo kwenye begi "so may be mhudumu ndio kanifanyia haya" kwa makusudi....
My frnd anam-call shemeji yake shemeji anamjibu tena huku akilia machozi kwamba" shemeji hata mie nashangaa kabisa kuona hiki kitendo, nakuapia shemeji cjui kinachoendelea, naomba tu uongee na mke wangu arudi nyumbani...mke anasema harudi kwa mumewe mpaka amwambie ukweli wa aliyayaona.....
Mie kama mie kwa jana nilikosa la kusema....inawezekana hii kitu jamani, kwamba mtu hajui ndio kwanza na yeye "anashangaa".....
...huyo mke alikuwa anaitafuta sababu tu ya kuondoka.
Ukweli gani anaoutaka wakati Mumewe keshamuapia hajui?
Ni bora mpofu wa macho kuliko mpofu wa Akili.
DC nashangaa mnamlaumu mwanamke... hata mie ningeondoka honestly...kwanza hana adabu kamcheat mke wake, pili he is a big liar...yaani mie na watu waongo!!! no matter what he is going to tell me I will not believe him next time...

hivi kumbe alivyoapa inatosheleza hata kaam mke kaona mume kaapia unafiki tu?
Kama kuna ukweli hatakiwi omba msamaha maana itakuwa anajiandikia hukumu ya kifo! Akomae tu
Kwa hili anashangaza.Hajatumia busara kuondoka.Na akimwambia kuwa ni kweli alizitumia hizo kondomu ndio atapona?au ataridhika?
mie jamani cjui kabisa, jana nilikosa cha kushauri kabisa, na ucku nilimcal huyo mdogo wetu nilimuuliza tu kwanini umechukua uamuzi kwa kwenda home haraka hivyo badala ya kumckiliza mwenzio kwanza...alinijibu "acnifanyie hayo akidhani alinitoa rodini, alinitoa kwetu atakuja kunichukua kwetu kama bado ananihitaji"....
...eti?
kakurupuka tu huyo sasa anatafuta sababu ya kumkandamiza mumewe aonekane ndio mkosa.
"Mtenda akitendewa anajihisi kaonewa." Huyu Mwanamke ameonyesha ishara kwamba si mwaminifu kivile..
Hapo umenikumbusha mbali sana.
Huyo mwanamke inawezekana kweli kachezewa faulo ila katimua mbio badala ya kukomaa ili amalize mechi. Kwa mtindo huyo, refa anapuliza kipenga na kutoa point za chee. Jamaa kashinda mechi kiulaini. Ila huyo dada angekuwa na roho ya paka, jamaa angevaa pampers kwani hiyo sababu aliyoitoa ili ya kitoto sana.
Ni mdogo wake na friend wangu, tuliyoisheherekea harusi mwezi May, ni jana my frnd ananical ananiambia mdogo wake karudi nyumbani(kwa wazazi).
Mwanaume alisafiri kama 2 weeks kikazi, karudi jmoc ucku, mke kampokea kwa furaha zote kufurahia mume karudi na alim miss pia, mume yupo bathroom mke akawa anafanyia usafi begi na mume alilotoka nalo safari, alikumbana na chupi ya kike(chafu) na vikaratac vya condom kama vi3, mume katoka kuoga mke amumhoji aliyoyaona, mume anaapa miungu yote kwamba hajui kinachoendelea wala hakuwa na mwanamke huko safarini bali mhudumu wa hotel aliyofikia ndio alimpakia nguo kwenye begi "so may be mhudumu ndio kanifanyia haya" kwa makusudi....
My frnd anam-call shemeji yake shemeji anamjibu tena huku akilia machozi kwamba" shemeji hata mie nashangaa kabisa kuona hiki kitendo, nakuapia shemeji cjui kinachoendelea, naomba tu uongee na mke wangu arudi nyumbani...mke anasema harudi kwa mumewe mpaka amwambie ukweli wa aliyayaona.....
Mie kama mie kwa jana nilikosa la kusema....inawezekana hii kitu jamani, kwamba mtu hajui ndio kwanza na yeye "anashangaa".....
Ni kazi kummiliki mtu jamani yani kiwe chako peke yako..mmh
Kupanic ni muhimu bali hakutakiwa kuondoka bibie na siwezi kumtupia lawama huyo jamaa..No ushahidi!
...si ndio hapo, sasa atakimbilia kwao kwa kesi ngapi ilhali hata 'valentine day' ya pili hawajaila wala harusi haijajibu?
BJ, ukishakabidhiwa cheti cha ndoa ('kama hati ya nyumba au kiwanja') ndio ushamilishwa peke yako hivyo.
Kwanza mume karudi safari halafu anajitia detective,agrr mapenzi yataendaje sasa hapo?! au yeye alikuwa anaibia akahisi na mwenzie kafanya hivyohivyo!! Asubiri baada ya mwezi kusikia mwingine kawekwa ndani mana ye asusa wenzie wala!!
Hiyo ya kukabidhiwa peke yangu bado kabisa haijaniingia, yaani milele? inawezekana kweli Mbu?!
...eeehh? kwani BJ hujawahi kuona cheti cha ndoa? ni Sheikh, Padre, au msajili wa ndoa ndiye anayekukabidhi Copy yako uitunze. Kwa maana umemilikishwa Bwana fulani bin fulani awe Mume wako na Jamhuri inakutambua.
Ndio maana nikaandika hapo awali kama nyumba vile,
Hati ni yako...'ukiamua' kupangisha vyumba, Rukhsa! Utasaidiwa 'kujikimu' mahitaji madogo madogo
Hivyo viapo mie siviwezi, kufungiwa forever jamani!..sasa 'excitement' ikiisha utavumiliaje?nauliza tu,lol
Inahitaji moyo kwakweli, subiri namie nikabidhiwe hiyo hati siku moja nione utamu wake..::smile-big: