Mmmh!ngumu Kumeza! Una Watoto Wawili Wadogo,halafu Unatembea Na Wanaume Wawili Nje Na Mumeo Ndani! Phuuuu! Labda Uniambie Hafanyi Nao Mapenzi Kisawasawa! Jamani Kwa Mapenzi Haswaaa,huwezi Kumudu!
Kwa uzoefu wangu, mwanamke ni kiumbe ambaye hawezi kukiri kuwa katembea na mtu mwingine hata kwa mtutu wa bunduki, yupo radhi kufa ila sio kufungua kinywa, labda umkute on spot na tena umpige na picha kama ushahidi na still anaweza kusema imetengenezwa. Nasema hivi mana kuna jamaa ofisini hapa amegundua mkewe anatembea na jamaa wawili nje ya ndoa, wana watoto wawili tena wadogo, jamaa anashindwa achukue maamuzi gani mana mwanamke alikana kata kata na jamaa ana picha za mkewe akiliwa na mmoja wa hao jamaa.....swali langu ni hivi, kwanini wanawake huwa hawakubali matokeo, angali mwanaume akiona kimenuka fasta atakiri ukweli
Hata wanaume hawakubali ati...
mi nipo kinyume na wewe kabisaa... Mwanamke kama ukimbana sana anasema kuliko mwanamme. Women can not keep secret.. Atakataa lakini mwisho wasiku atakubali mwenyewe. Nadhani huyo mumewake alikuwa anamuuliza kwa kumbembeleza sana.
Jamaa anampenda mkewe kama kitu gani sijui, na kazi zetu ni za research, mara nyingi tupo vijijini ila huwezi mwona jamaa na mwanamke aisee, jamaa anachemka kazi mpaka amepewa warning letter, imembidi amweleze boss ukweli ndo tulipojua linaloendelea, sasa jamaa anataka wapeleke watoto kwa mama yake amwache mwanamke aendelee na maisha yake, hadi huruma arifu!!
wengine hawaingii ktk muhusiano kufuata mapenzi: kuna mambo mengi sana yanaweza kumuingiza mtu ktk mahusiano, mfano; pesa, upelelezi, kukomoa na hata kusambaza magonjwa. Tafakari!
mwanaume hata akikubali
hawezi pewa talaka bali atasamehewa na mkewe
mwanamke akikubali ndoa hana,sasa nikubali niachwe?
aaakuuuuuu!nakufa na tai shingoni hahaa!
na huyo mwanaume atakua msaliti ndio maana mke kaamua
kufanya na yeye,midume mnafaa basi?!aaaaghhhh!