Hellow wanajamii forum wenzangu, mwenzenu leo nimezaliwa upyaa namaanisha siku yangu ya kuzaliwa. Namshukuru sana mungu kwa kunifikisha umri huu.
Tupongezane basi.
Happy birthdayHellow wanajamii forum wenzangu, mwenzenu leo nimezaliwa upyaa namaanisha siku yangu ya kuzaliwa. Namshukuru sana mungu kwa kunifikisha umri huu.
Tupongezane basi.
Haya hongera!!
and, I'm missing you!
hahahaaaa!!! hongera sana kwa kujishikiza kwa paloumaaa!
vipi lakini vivian aliishia wapi?
popote utakapomuona mwambie namhitaji PM kwa pembeni! lol
Umenipotea kama Judgement
Of cos nimepotea CC but niko active majukwa mengine...
Eheeeee jukwaa gani limekuficha?
Eheeeee jukwaa gani limekuficha?