Mzingo
JF-Expert Member
- Nov 2, 2014
- 4,463
- 9,675
Halafu anajiweka sawa ili apige vizuriKama Babu Tale, tena anaona mkono mmoja hautoshi anatumia mikono yote miwili kugonga meza
Halafu anajiweka sawa ili apige vizuriKama Babu Tale, tena anaona mkono mmoja hautoshi anatumia mikono yote miwili kugonga meza
Unaweza kujiuliza wabunge zaidi ya 390 wana kazi gani ya maana ukilinganisha na maslahi makubwa wanayolipwa?
Tume ya Katiba Mpya iliyoongozwa na mzee Warioba ililiona hili na kupendekeza idadi ya wabunge ipunguzwe "sana".
Kiukweli unapokuwa na kundi la wabunge zaidi ya 390 wenye elimu za kuanzia shule ya vidudu hadi UDSM ni sawa na genge tu la watu wavivu au wacheza pool table.
Tunapoangalia uvivu wa taifa tuangalie na wanasiasa wetu je wana tija yoyote?
Ni wachapa kazi au wapiga makofi yasiyoeleweka?
Maendeleo hayana vyama!
hakuna cha wivu wala husda ...mleta mada kasema ukweli ambao ninyi wachumia tumbo hampendi kuusikia....Ni wivu tu unakusumbua mleta murder
Tena kwa mbwembwe kubwaUmesahau, na kusifia.
Naona wokovu umekaribia mkuuYohana kwa kweli kuna muda unakubali kutumia akili zako vizuri...
Hongera kwa kuleta mada nzuri sana..
Ndugai na wanasiasa wengine nao ni wavivu tu wanaotumia madaraka yao kunyanyasa vijana wengi wasio na pakusemea....
Kuna tija gani kuwa wabunge almost 400 ambao wapo kumsifu mtu mmoja na kukwapua kodi ya walalahoi....ni upuuzi kama upuuzi mwingine
Umesema neno mazee. Sometimes it may resemble kijiwe if not well directed and organisedUnaweza kujiuliza wabunge zaidi ya 390 wana kazi gani ya maana ukilinganisha na maslahi makubwa wanayolipwa?