Blessed Keinerugaba
JF-Expert Member
- Nov 16, 2011
- 4,789
- 4,838
Ninapenda kuitembelea.page yangu insta shop_with_lorah karibu
Ninapenda kuitembelea.page yangu insta shop_with_lorah karibu
Asante snPole sana kwa kumpoteza Kaka, lakini upambanaji ndivo ulivo kikubwa kuchukua tahadhari, upambanaji lazima uendelee hakuna kukata tamaa kufa kupo tu unaweza kubaki unakula ugali na bado ukafia hapohapo baada ya kula hivo hauna sababu ya kuogopa kitu ambacho hauwezi kukikwepa, kifo hakikwepeki hivo ni kupambana itapotokea ndio story inaishia hapo
Pikipiki zimeua na kufanya vijana wengi vilewa wa maisha..sio za kushadadia kabisa.Hapo kuhusu vijana wajiajiri na bodaboda sikuungi mkono.Bodaboda ilimuua bro wangu..
Ilikuwa saa 12 asubuhi anatoka pande za airport kumpeleka mshikaji wake.Wakati anarudi home temeke,alipofika maeneo ya mchicha jamaa wa fuso ambaye alikuwa nyuma yake akamgonga kwa nyuma pikipiki ikaingia uvunguni mwa gari bro akaangukia service road akafariki papohapo.Dereva wa fuso alipokuwa anahojiwa na polisi jibu alilotoa lilinishangaza sn.Alisema alikuwa anatokea pande za kisarawe,wakati anaendesha gari alikuwa ana usingizi so alipofika mitaa ya mchicha gari ilikuwa autopilot yeye alishalala muda Tu.Amekuja kustuka anasikia km gari limeyumba kumbe chini ya tairi kuna pikipiki na alipoangalia side mirror anakuta bodaboda wanampigia kelele ndiyo anajua amegonga
Tangu siku hiyo sipandi pikipiki na nimegombana sn na mchumba kuhusu Tabia yake ya kila safari hata ya kutembea Kwa miguu basi anachukua bodaboda
Kiufupi mleta mada sikuungi mkono kuhusu vijana wajiajiri na bodaboda.Ni heri hao wahitimu waendelee kula ugali wa mashemeji zao huku wakisikilizia milango mingine
Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
Ok good mkuu nakuja kuchekipage yangu insta shop_with_lorah karibu
Pole kiongozi. Wiki iliyopita tumezika vijana wawili hapa mtaani. Walibanwa katikati ya fuso, mi kwakweli sipandi bodaboda hata kama haijawashwa.Hapo kuhusu vijana wajiajiri na bodaboda sikuungi mkono.Bodaboda ilimuua bro wangu..
Ilikuwa saa 12 asubuhi anatoka pande za airport kumpeleka mshikaji wake.Wakati anarudi home temeke,alipofika maeneo ya mchicha jamaa wa fuso ambaye alikuwa nyuma yake akamgonga kwa nyuma pikipiki ikaingia uvunguni mwa gari bro akaangukia service road akafariki papohapo.Dereva wa fuso alipokuwa anahojiwa na polisi jibu alilotoa lilinishangaza sn.Alisema alikuwa anatokea pande za kisarawe,wakati anaendesha gari alikuwa ana usingizi so alipofika mitaa ya mchicha gari ilikuwa autopilot yeye alishalala muda Tu.Amekuja kustuka anasikia km gari limeyumba kumbe chini ya tairi kuna pikipiki na alipoangalia side mirror anakuta bodaboda wanampigia kelele ndiyo anajua amegonga
Tangu siku hiyo sipandi pikipiki na nimegombana sn na mchumba kuhusu Tabia yake ya kila safari hata ya kutembea Kwa miguu basi anachukua bodaboda
Kiufupi mleta mada sikuungi mkono kuhusu vijana wajiajiri na bodaboda.Ni heri hao wahitimu waendelee kula ugali wa mashemeji zao huku wakisikilizia milango mingine
Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
Bodaboda ni janga la taifa mkuuPole kiongozi. Wiki iliyopita tumezika vijana wawili hapa mtaani. Walibanwa katikati ya fuso, mi kwakweli sipandi bodaboda hata kama haijawashwa.
Ile ya kihonda mkuu !!?Pole kiongozi. Wiki iliyopita tumezika vijana wawili hapa mtaani. Walibanwa katikati ya fuso, mi kwakweli sipandi bodaboda hata kama haijawashwa.
Aki nmecheka sanaaaa......et anauza na wachungaji hahahhahahah aki watu mna mambo mambo mazto wallah. Hahhhahahahhahaha uwiiiWakuu huyu Dada kweli ni mjasiliamali yaani anauza nguo nzuri nendenj mkamfollow anastahili support la pili nililochoka kuna sehemu nimeona kama anauza na wachungaji wa makanisa ya kilokole yaani kazi ni kuanzisha kanisa wachungaji unaenda kununua pale pale kwenye page yake
[emoji4][emoji4]kweli wewe ni mzushi flani![emoji28]watu wengi waliokosa ajira huangukia katika mkumbo wa ujasiriamali kwa kua na mawazo ya kutafuta pesa nyingi huku kichwani wakidhani kua ukiwa na pesa nyingi utafanikiwa zaidi!..
wengine hizo ajira wanapenda tu! na hawataki ujasiriamali, si kila mtu anataka kumfikia jeff bezos! if it works on you then keep on! shit does not work the very same to everybody!.
Laki 200k unapata bodaboda ambayo itakuwa yakoUlivoandika hapa as if izo bodaboda kuna mahali wanazigawa bure.
Naomba kukujuza Bei ya pikipiki mpya TVS 2,000,000 hadi 2,500,000
Ili umsaidie kijana mwenzio ambae bado hajaiona iyo fulsa mpe kwanza idea ya kuipata iyo 2.5M