Ayusema
JF-Expert Member
- Apr 23, 2011
- 549
- 189
Habari wana JF,
Leo katika pita pita zangu nimedondokea airport.. Parking ni shida, magari mengi sana hata sehem ya kupark ni finyu, kilichonishtua Katika ulipaji wa parking bei ni ya juu kidogo hata kama umekaa dakika tano unalipa elfu 2.
Kawaida huwa ni elfu 1 kwa nusu saa au zaidi!! Mlimani city nusu saa huwa ni bure then buku kwa lisaa. Hata kama ni mapato ya ndani hii hatari na njaa.. Dakika 21 unalipa elfu 2 je masaa matatu!?
Sent using Jamii Forums mobile app